Uwanja mweupe na timu za kuwasindikiza kuhalalisha ushindi wenu na kupongeza pointi mtakazopata

Uwanja mweupe na timu za kuwasindikiza kuhalalisha ushindi wenu na kupongeza pointi mtakazopata

Milazetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
300
Reaction score
270
Miaka yote sijawahi kuona Ccm mkiandikisha wanachama wenu kwa kuwataka waje na kadi ya mpiga kura wazi wazi kama sasa,kunauhusiano gani wa kusajili wanachama wenu ili waoate kadi za ccm hadi waje na vitambulisho vya kura?Mbona Chadema wamesajili hawakuwahi kuhitaji kadi za mpiga kura?
 
Mambo yanaanzia hapo!!!!
Wacha tusubirie jibu la uhusiano wa kuandikisha wanachama na kadi za mpiga kura.
 
Mambo yanaanzia hapo!!!!
Wacha tusubirie jibu la uhusiano wa kuandikisha wanachama na kadi za mpiga kura.
Vyuoni wamekuwa na desturi ya kuwalazimisha wajiunge na ccm kwa kuwalaghai usipokuwa na kadi ya ccm hupati kazi.Sasa wamehamia mitaani.
 
Vyuoni wamekuwa na desturi ya kuwalazimisha wajiunge na ccm kwa kuwalaghai usipokuwa na kadi ya ccm hupati kazi.Sasa wamehamia mitaani.
Yani serikali sijui wakati mwingine ipoje au inawachukuliaje wananchi wa nchi hii.
Mara hakuna kufanya siasa vyuoni mara ccm wao wanatamba huko vyuoni yani ni vurugu mechi.
 
Labda wengine huchukua takrima mara mbili,

Lakini mchezo wa kuchukua namba za nida na kitambulisho, huwa ni kuzitumua kutengeza kura na vituo hewa na fake.
 
Wanafanya sana siasa vyuoni vyuo vya vserikali wanaenda hao.
 
Back
Top Bottom