Vyuoni wamekuwa na desturi ya kuwalazimisha wajiunge na ccm kwa kuwalaghai usipokuwa na kadi ya ccm hupati kazi.Sasa wamehamia mitaani.Mambo yanaanzia hapo!!!!
Wacha tusubirie jibu la uhusiano wa kuandikisha wanachama na kadi za mpiga kura.
Yani serikali sijui wakati mwingine ipoje au inawachukuliaje wananchi wa nchi hii.Vyuoni wamekuwa na desturi ya kuwalazimisha wajiunge na ccm kwa kuwalaghai usipokuwa na kadi ya ccm hupati kazi.Sasa wamehamia mitaani.