johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa....... Bwashee CCM nimeipenda mwenyewe!Jo unalipwa shilingi ngapi mtani? Hivi unajua kumpika chura teke ni kumuongezea hatua?
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa....... Bwashee CCM nimeipenda mwenyewe!Jo unalipwa shilingi ngapi mtani? Hivi unajua kumpika chura teke ni kumuongezea hatua?
Jr[emoji769]
Hivi unaamini kuwa katika chaguzi huwaga hakuna uwanja ulio sawa?Kama uwanja utakuwa fair na wapinzani hasa Chadema hawatatumia ujanja ujanja wakati wa kupiga kura basi CCM itashinda viti vyote vitatu yaani Rais, mbunge na diwani saa 4 asubuhi.
Ikumbukwe 2015 wale Friends of Lowassa walifanya ujanja ujanja mwingi mfano mzuri ni jimbo la Kawe, Kinondoni, Ubungo na Ukonga ambako kama siyo figisu wabunge wa CCM wangeshinda.
Mfano mwingine ni jimbo la Kilombero ambako wamasai kutoka kaskazini walienda kupiga kura kwa mujibu wa mbunge Lijualikali wa Chadema.
Niiombe NEC iwe makini October.
Maendeleo hayana vyama!
Unaiwaza Chadema 24/7
Kwani Chadema ipo ?
USHINDI LAZIMA
1. Mwenyekiti, mkurugenzi na wajumbe wa Tume ya uchaguzi - Wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM (Rais)
2. Matokeo ya Urais hayapingwi mahakamani
3. Vyombo vya usalama (Mkoa/Wilaya) - Wenyeviti wao ni makada wa CCM (Wakuu wa mikoa na wilaya)
Mkuu hua unayasema haya toka moyoni au toka mdomoni tu basi. Maana sijajua unasahau na wasukuma walipiga kura wa wingi 2015 kwa sababu ya magu. Bila ya kusahau harakati sza bao la mkono.
October ni kipimo cha uwezo wa kufikiri wa watz
Bwashee nimezungumzia uchaguzi mkuu wa 2015 Idd Azzan vs Mtolea wa UkawaBwashee naamini haujaandika haya kutoka moyoni.
Jimbo la Kinondoni mlichakachua makusudi ushindi wa Salum Mwalimu, hilo hata wewe unajua, labda umejisahaulisha makusudi, uwepo wa RC.DC. RCO kwenye chumba cha kuhesabia kura, na kukimbia na mabox ya kura ndiko kuliwaokoa.
Haijalishi Lowassa wala nani, Chadema inauwezo wakuwachapa saa kumi na mbili asubuhi.
Lowassa aliondoka na kura zake usisahau hilo bwashee!Tulio wengi tusha fanya maamuzi ya kuiondoa ccm
Polepole aliwahi kusema "nyie hamtoshi"USHINDI LAZIMA
1. Mwenyekiti, mkurugenzi na wajumbe wa Tume ya uchaguzi - Wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM (Rais)
2. Matokeo ya Urais hayapingwi mahakamani
3. Vyombo vya usalama (Mkoa/Wilaya) - Wenyeviti wao ni makada wa CCM (Wakuu wa mikoa na wilaya)
Kama wewe unavyomuwaza Magufuli kila ucha na uchwaoUnaiwaza Chadema 24/7
Jipe moyoWatanzania woote mamilioni ni wana cdm na wapo tayari kuichagua cdm
Ikitokea uwanja ukawa 'fair' sisiemu itaingia rasmi kule inakostahili kuwa - jumba la makumbusho
Hahahaaaa...... .comment nzuri sana!Jipe moyo
CCM itaaga kwa upinzani upi?!Nafikiri umezungumza kinyume chake! Tume ikiwa Huru,Vyombo vya ulinzi na usalama vikisimamia Uchaguzi kwa haki,CCM inaaga saa 3:00 asubuhi.
Huo ukweli mnaujua lakini mnajifanya hamuujui!!
Jipe moyo
CCM itaaga kwa upinzani upi?!