Uchaguzi 2020 Uwanja ukiwa sawa Oktoba 2020 CCM inashinda saa 4 asubuhi mafiga yote matatu

Uchaguzi 2020 Uwanja ukiwa sawa Oktoba 2020 CCM inashinda saa 4 asubuhi mafiga yote matatu

Hivi chadema wanaenda na hoja gani mwezi oktoba????

Hoja ya ufisadi waliyoenda nayo uchaguzi mkuu haina mashiko leo.

Au Tume huru ya uchaguzi ndo ajenda yao uchaguzi huu??

Au chadema tehama ndo agenda???
 
USHINDI LAZIMA

1. Mwenyekiti, mkurugenzi na wajumbe wa Tume ya uchaguzi - Wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM (Rais)

2. Matokeo ya Urais hayapingwi mahakamani

3. Vyombo vya usalama (Mkoa/Wilaya) - Wenyeviti wao ni makada wa CCM (Wakuu wa mikoa na wilaya)
Watahatarisha uhai wao na vizazi pia
 
Sio kesi ila mapendo yako yasiwe kwa wengine

Jr[emoji769]
Tatizo ni kuwa ruzuku ya Nccr mageuzi, ACT wazalendo, Chadema na hata CCM ni kodi yangu so nina uhuru wa kuvinjari nipendavyo bwashee, Sipangiwi!
 
Kama uwanja utakuwa fair na wapinzani hasa Chadema hawatatumia ujanja ujanja wakati wa kupiga kura basi CCM itashinda viti vyote vitatu yaani Rais, mbunge na diwani saa 4 asubuhi.

Ikumbukwe 2015 wale Friends of Lowassa walifanya ujanja ujanja mwingi mfano mzuri ni jimbo la Kawe, Kinondoni, Ubungo na Ukonga ambako kama siyo figisu wabunge wa CCM wangeshinda.

Mfano mwingine ni jimbo la Kilombero ambako wamasai kutoka kaskazini walienda kupiga kura kwa mujibu wa mbunge Lijualikali wa Chadema.

Niiombe NEC iwe makini October.

Maendeleo hayana vyama!
Chaguo la shetani anabadili katiba kujilinda[emoji16][emoji16],kushtakiwa kuko palepale hata afanyaje,utawala wake umejaa magumashi kuliko awamu zote.
Maendeleo hayana chama
IMG_20200511_224020.jpeg
 
Tatizo ni kuwa ruzuku ya Nccr mageuzi, ACT wazalendo, Chadema na hata CCM ni kodi yangu so nina uhuru wa kuvinjari nipendavyo bwashee, Sipangiwi!
Kwanini mizani yako inaegemea upande mmoja zaidi

Jr[emoji769]
 
Kama uwanja utakuwa fair na wapinzani hasa Chadema hawatatumia ujanja ujanja wakati wa kupiga kura basi CCM itashinda viti vyote vitatu yaani Rais, mbunge na diwani saa 4 asubuhi.

Ikumbukwe 2015 wale Friends of Lowassa walifanya ujanja ujanja mwingi mfano mzuri ni jimbo la Kawe, Kinondoni, Ubungo na Ukonga ambako kama siyo figisu wabunge wa CCM wangeshinda.

Mfano mwingine ni jimbo la Kilombero ambako wamasai kutoka kaskazini walienda kupiga kura kwa mujibu wa mbunge Lijualikali wa Chadema.

Niiombe NEC iwe makini October.

Maendeleo hayana vyama!
Badala wajibu hii hoja yako watasema unaklipwa buku 7. Kawe Ccm imesharudisha jimbo. Maana mbunge yupo taabani.
 
Back
Top Bottom