Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Jamani tume mnaionea bure ipo huru kabisa. Na kila chama huwa kinaweka mawakala kwa kila ngazi.Usiseme uwanja ukiwa sawa, kwa kuwa tayari hivi sasa chama chako cha CCM kinabebwa na vyombo vyote vya dola.............
Jiulize ni kwanini chama chako cha CCM kinaiogopa Tume huru ya uchaguzi sawasawa na kuiogopa Corona??