Uchaguzi 2020 Uwanja ukiwa sawa Oktoba 2020 CCM inashinda saa 4 asubuhi mafiga yote matatu

Hivi unaamini kuwa katika chaguzi huwaga hakuna uwanja ulio sawa?
 
Bwashee naamini haujaandika haya kutoka moyoni.

Jimbo la Kinondoni mlichakachua makusudi ushindi wa Salum Mwalimu, hilo hata wewe unajua, labda umejisahaulisha makusudi, uwepo wa RC.DC. RCO kwenye chumba cha kuhesabia kura, na kukimbia na mabox ya kura ndiko kuliwaokoa.

Haijalishi Lowassa wala nani, Chadema inauwezo wakuwachapa saa kumi na mbili asubuhi.
 
Hata hao wote washaichoka ccm
 
Mwambie huyo Ngosha
Mkuu hua unayasema haya toka moyoni au toka mdomoni tu basi. Maana sijajua unasahau na wasukuma walipiga kura wa wingi 2015 kwa sababu ya magu. Bila ya kusahau harakati sza bao la mkono.
 
Bwashee nimezungumzia uchaguzi mkuu wa 2015 Idd Azzan vs Mtolea wa Ukawa
 
Polepole aliwahi kusema "nyie hamtoshi"


Tuseme mmeshinda kwa mfano, mkaweka watu wizara ya afya..kule makao makuu ufipa anabaki nani??

Alafu mna wivu sana na human resources ya Serikali...mnaanza kusema inafanya kazi ya CCM , wakati inafanya kazi yake ya kikatiba.
 
Chama la wana , chama kikongwe...baba lao.!

Jembe na nyundo.

Ngoja tuwafundishe siasa nyie watoto wadogo.


Wenye akili wote washahama cdm.

Wapi slaa.? Na zile operesheni sangara, list of shames.


Angalau hao ndo wenye akili

Mliobaki cdm ni wachangiaji wa.saccos ya jamaa wa Hai.
Ikitokea uwanja ukawa 'fair' sisiemu itaingia rasmi kule inakostahili kuwa - jumba la makumbusho
 
Nafikiri umezungumza kinyume chake! Tume ikiwa Huru,Vyombo vya ulinzi na usalama vikisimamia Uchaguzi kwa haki,CCM inaaga saa 3:00 asubuhi.
Huo ukweli mnaujua lakini mnajifanya hamuujui!!
 
Nafikiri umezungumza kinyume chake! Tume ikiwa Huru,Vyombo vya ulinzi na usalama vikisimamia Uchaguzi kwa haki,CCM inaaga saa 3:00 asubuhi.
Huo ukweli mnaujua lakini mnajifanya hamuujui!!
CCM itaaga kwa upinzani upi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…