Uchaguzi 2020 Uwanja ukiwa sawa Oktoba 2020 CCM inashinda saa 4 asubuhi mafiga yote matatu

Hivi chadema wanaenda na hoja gani mwezi oktoba????

Hoja ya ufisadi waliyoenda nayo uchaguzi mkuu haina mashiko leo.


Au Tume huru ya uchaguzi ndo ajenda yao uchaguzi huu??

Au chadema tehama ndo agenda???
 
Watahatarisha uhai wao na vizazi pia
 
Sio kesi ila mapendo yako yasiwe kwa wengine

Jr[emoji769]
Tatizo ni kuwa ruzuku ya Nccr mageuzi, ACT wazalendo, Chadema na hata CCM ni kodi yangu so nina uhuru wa kuvinjari nipendavyo bwashee, Sipangiwi!
 
Chaguo la shetani anabadili katiba kujilinda[emoji16][emoji16],kushtakiwa kuko palepale hata afanyaje,utawala wake umejaa magumashi kuliko awamu zote.
Maendeleo hayana chama
 
Tatizo ni kuwa ruzuku ya Nccr mageuzi, ACT wazalendo, Chadema na hata CCM ni kodi yangu so nina uhuru wa kuvinjari nipendavyo bwashee, Sipangiwi!
Kwanini mizani yako inaegemea upande mmoja zaidi

Jr[emoji769]
 
Badala wajibu hii hoja yako watasema unaklipwa buku 7. Kawe Ccm imesharudisha jimbo. Maana mbunge yupo taabani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…