Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 6,404 Reaction score 6,969 Jun 5, 2020 #61 Mystery said: Usiseme uwanja ukiwa sawa, kwa kuwa tayari hivi sasa chama chako cha CCM kinabebwa na vyombo vyote vya dola............. Jiulize ni kwanini chama chako cha CCM kinaiogopa Tume huru ya uchaguzi sawasawa na kuiogopa Corona?? Click to expand... Jamani tume mnaionea bure ipo huru kabisa. Na kila chama huwa kinaweka mawakala kwa kila ngazi.
Mystery said: Usiseme uwanja ukiwa sawa, kwa kuwa tayari hivi sasa chama chako cha CCM kinabebwa na vyombo vyote vya dola............. Jiulize ni kwanini chama chako cha CCM kinaiogopa Tume huru ya uchaguzi sawasawa na kuiogopa Corona?? Click to expand... Jamani tume mnaionea bure ipo huru kabisa. Na kila chama huwa kinaweka mawakala kwa kila ngazi.
onjwayo JF-Expert Member Joined Apr 8, 2020 Posts 1,356 Reaction score 1,309 Jun 5, 2020 #62 Nenda chooni utoe mavi yaliyokubana hujui ulichokiandika
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Jun 5, 2020 #63 johnthebaptist said: CCM itaaga kwa upinzani upi?! Click to expand... Kwa upinzani ule ule uliotishia Chama pendwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana.
johnthebaptist said: CCM itaaga kwa upinzani upi?! Click to expand... Kwa upinzani ule ule uliotishia Chama pendwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana.