Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Aiseee namchukia magu kinoum mie nipo kitaa 2 sijakatiw milija wala nn ila inshu kujenga uchumi imara imemshinda
Sasa unakaaje nyumbani tu, unashindwa hata kuuza karanga ambapo mtaji wake hata 50,000 haizidi. Halafu unakuja kutuvimbia hapa eti unamchukia Magu, jichukie mwenyewe kwa kukaa kiboya kitaa
 
Sasa unakaaje nyumbani tu, unashindwa hata kuuza karanga ambapo mtaji wake hata 50,000 haizidi. Halafu unakuja kutuvimbia hapa eti unamchukia Magu, jichukie mwenyewe kwa kukaa kiboya kitaa
Kabla ya kukoment uwe muelewa naendelea na harakat zangu kitaa ila circulation ya hela ni hovyo kabisa afu muache kujifanya mnajua kufundisha watu kazi kama vp kalanga uza mwenyew
 
Kwa hivyo Waislamu ni wajinga? Haya Wewe amini hivyo. Mimi siamini.
Sio wote but most of we are darasa la saba
Pia most of us we come from poor communities
That's why mwana harakati mkubwa wa kiislamu sheik issa ponda Mara baada ya kutoa waraka wa waislamu na kubainisha dhulma ya serikali ya magufulu.

From no where Sasa anaendelea BMW mpya. Na kwa Sasa waliopo jela wametelekezwa hata michango kwa ajili ya kukimu nahitaji ya Familia imepigwa STOP 🛑 na kwa Sasa wanaharakati wamekua wanaharakati wa JPM. Hio Ndio tafsiri ya umaskini na ujinga
Katika dua kubwa moja wapo.

Rasulullah (SAW) ALIOTUFUNDISHA ni
Ya Allah nakuomba unikinge na ufakiri na ujinga
HADITHI ingine Ufakiri ni nusu ya ukafikiri
 
Picha zinakuja bwashee.

Ni zaidi ya Simba day na Siku ya wananchi ukizichanganya pamoja!
Wacha kufananisha Simba Day na vitu vya ajabu ajabu wewe. Simba Day hakuna wanaobebwa kwa malori.
 
Kweli mmeenda kutuharibia pitch kizembe vile..sio uwanja wa CCM nyie wapuuzi..
 
Mtu mwenye akili za kiwango hicho ulichokitaja, hawezi kushawishika kuhudhuria na pia kumchagua mgombea kwa sababu tu alimburudisha au kumpa chakula.

Wahudhuriaji wengi wa hilo tamasha watakua ni wale Watanzania wajinga tu mlio watengeneza wenyewe kwa miaka yote hii kupitia elimu duni, sera duni za kiuchumi, kisiasa na kijamii, nk.
Yaani unajifanya una akili wakati ni kula kulala!
 
Hapo watu wameenda kusikiliza sera siyo nyie mnaamua kumsindikiza huyo kibaraka wenu anaeamua kuwa house girl na kwenda kununua nyanya kariakoo!
Natafuta mtu wa kujifunzia kufanya mapenzi vip utaweza nafasi ipo wazi maana huna hakilii
 
.
Ndio wanafuata burudani Ila kumbuka CCM Wana akili Mara1000 ya vyama vilivyobaki, wanawajua Watanzania zaidi ya mnavyofikiria nyie,, ili Mtanzania akusikie na kukuelewa kwa makini lazima awe na moroli kwanza na ndo Maana CCM inaanza na burudani kwanza ili kuwandaa raia kwa ajili ya kusikiliza Sera zao.
This bongo joh!
Badshi8 na polepole wana akili gani sasa hata cccm awajui zaidi ya kuchumia tumbo.
Mawazo gani ya kununua wanaopigiwa kura badala ya wapiga kura,mawwazo gani ya kuzuia shughuli za siasa
 

Yaani unajifanya una akili wakati ni kula kulala!
Ha ha ha ha! Dah! Umenifurahisha sana. Kula kulala kwa wazazi au shemeji? Vipi mkuu tamasha liliendaje? Niliwaangalia kwa muda tu baadae nikaenda kwenye mishe zangu.
 
Hayo yote ni majukumu ya serikali. Ni kama baba mwenye nyumba kutamba kwamba ameleta chakula nyumbaniwatoto wale! Lumumba bwana!
Hata MAKABURU na Madikteta wengi walitumia mbinu hizo za LUMUMBA
Lakini Mandela na ANC waliendesha harakati zao kwa michango
Jaribu kusoma historia ya TANU
Michango Ndio iliokomboa nchi sio kwa ubwabwa kwa ahadi ya kulipa na Ziada
Only poor and ignorant community will vote for jiwe maana ubwabwa na nguo ni kitu adimu kwao
 
Yaani wewe....vyuma alizaliwa navyo? Ukiitwa zezeta itakuwa sio sahihi? Mtu kapigwa risasi nyingi mchana kweupe kama jambazi wamkebehi?
Sasa huyo mnaemwita gari bovu,kwamba trip moja shamba trip moja gereji sio mtu? Au umeniquote tu bila kuelewa maada imeanzia wapi?
 
It is a reality
Let us wait and see
Regions with Muslims majority like Tanga and other coast regions CCM will win by far.

And Christian majority lands like Kilimanjaro. Mbeya. Mara. Kagera and other Christians majority lands CHADEMA will win
Muslims in Tanzania we are most ignorant and poor community that's why CCM will rule this country for long long time
Wewe Simba zee unaonekana ni mdini sana. Kila ukichangia unaleta mambo ya udini. Kule mahali watanzania wamekudharau kwa hoja yako ya udini , sasa umekimbilia hapa. Hivi huwezi kujenga hoja zako bila kutaja dini za watu, tena kwenye hisia zisizo fanyiwa utafiti wa kisayansi. Acha mara moja udini wako. Wewe ni simba zee, acha kutaka watu wajadili fikri zako za kizee za udini. Hacha mara moja.
 
Back
Top Bottom