Sasa unaposa upo kitaa tu maana yake nini? Sisi tutaelewa upo kama golikipa tu. Unaposema circulation ya hela hovyo unasikitisha, yani useme circulation iwe hovyo halafu uendelee ku survive kindezi tu. Chapa kazi, nasema tena Chapa kazi.
Baba sisi wengine ni Wakullma tumekopwa korosho zetu mpaka Leo hatujalipwa tuchape Kazi gani?
Wengine ni Wasomi walikua wanafanya Kazi kwenye makampuni Sasa hivi yamefiliisika atachapa kazi gani
Wafanyakazi hakuna ongezeko la mishahara
Ninyi wengine mpo kwenye systems
Waswahili wanasema mwenye shibe hamjui mwenye njaa
Watanzania sio wavivu wala watu wa kulalamika miaka yote tulikua Tunaishi vizuri mpaka huyu alivyo chukua nchi
Kwa Sasa tupo kama burundi
Kweli tulikua tunawashangaa warundi
Sasa hivi Tanzania mbaya Sana kodi ni nyingi kuliko kipato
Mama mja mzito kodi
Maiti haupewi mpaka ulipe kodi yaani we acha tu
Ndio maana hata nchi jirani haziji kununua mazao kwa sababu ya kodi
Narudia Tena watanzania sio wavivu ila Kazi hakuna makampuni yamehama
Viwanda vimefungwa kwa sababu kodi kodi kodi ya kuumiza wafanya biashara