Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye chama kubwa CDM umezinguaWazalendo wa nchi tu ndo tukutane hapa, cha kushangaza kenge kibao watajoin na dua zao mbaya kwa taifa. Haya mautopolo ni kama machadema tu asee.
Jichanganye watoto wale dagaaKila la kheri plateau utd....
Odds yenu ya 4 siiachii[emoji16]
Mkuu acha kufananisha Utopolo na akili kubwa!Wazalendo wa nchi tu ndo tukutane hapa, cha kushangaza kenge kibao watajoin na dua zao mbaya kwa taifa. Haya mautopolo ni kama machadema tu asee.
Mkuu upo vizuri Sana kwa kuanisha nyuzi za mechi ya moja kwa moja...nashauri update kama hizi uwe unaziweka kwenye uzi wetu Rasmi wa Simba sports maana uzi wetu umedumaa wanatuzidi hata UTOPOLO kuwa na comments nyingi angalau tumewazidi Kila kitu na sisi tunavyovingi vya kujivunia...sehemu nyingine ya mitandao ya kijamii tumewaacha mbali Ila humu wametuzidiMabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali Kuliko Wote Mwituni Jumamosi ya leo Disemba 5, 2020 watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kupapatuana na Plateau United, kutoka nchini Nigeria kwenye mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.
Mchezo wa leo unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90 huku Simba SC wakipewa nafasi nzuri ya kushinda kutokana na kupata ushindi ugenini wa bao moja bila majibu kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Nigeria kwenye uwanja wa New Jos matokeo ambayo Plateau United wakitaka kuweka rekodi ya kupindua matokeo.
Kocha wa Simba SC, Sven Vanderbroeck kuelekea mchezo wa leo amesema " Utakuwa mchezo mgumu, na mchezo ambao tumepishana kwa goli moja, hivyo lazima tuwe makini na natarajia mashabiki watajitokeza kwa wingi kushangilia. Timu yao ni nzuri hivyo tunahitaji kila aina ya nguvu ambayo tunayo ili tuweze kupata matokeo mazuri" amesema Vanderbroeck
Kulipewa Mwana... Kulitaka Mwana
Kumbuka mtanange huu wa kombe la Mabingwa Afrika ni kuanzia saa 11:00 jioni. Azam Sports 1 HD Live na Ghazwat na Jopo zima la JF litakuwa hapa Mubashara kukuletea mtanange huu kinagaubaga.
Usikose Ukasimuliwa..View attachment 1642028
Hilo moja wanalipatia wapi?Simba 3-1 Plateau
Kuna application za kuongeza comments, download ziwe nyingiMkuu upo vizuri Sana kwa kuanisha nyuzi za mechi ya moja kwa moja...nashauri update kama hizi uwe unaziweka kwenye uzi wetu Rasmi wa Simba sports maana uzi wetu umedumaa wanatuzidi hata UTOPOLO kuwa na comments nyingi angalau tumewazidi Kila kitu na sisi tunavyovingi vya kujivunia...sehemu nyingine ya mitandao ya kijamii tumewaacha mbali Ila humu wametuzidi
Tutawaeleza Mods waunganishe nyuzi zetu zoooote za VPL uzi wetu utakuwa na posts mara 100 ya Utopolo usijali.Mkuu upo vizuri Sana kwa kuanisha nyuzi za mechi ya moja kwa moja...nashauri update kama hizi uwe unaziweka kwenye uzi wetu Rasmi wa Simba sports maana uzi wetu umedumaa wanatuzidi hata UTOPOLO kuwa na comments nyingi angalau tumewazidi Kila kitu na sisi tunavyovingi vya kujivunia...sehemu nyingine ya mitandao ya kijamii tumewaacha mbali Ila humu wametuzidi
Mkuu fanya research fupi kwenye huo uzi wa yanga kisha uniambie ni comments za namna gani zilizojaza uziMkuu upo vizuri Sana kwa kuanisha nyuzi za mechi ya moja kwa moja...nashauri update kama hizi uwe unaziweka kwenye uzi wetu Rasmi wa Simba sports maana uzi wetu umedumaa wanatuzidi hata UTOPOLO kuwa na comments nyingi angalau tumewazidi Kila kitu na sisi tunavyovingi vya kujivunia...sehemu nyingine ya mitandao ya kijamii tumewaacha mbali Ila humu wametuzidi
Naitunza hii komenti yako.Kila la kheri plateau utd....
Odds yenu ya 4 siiachii[emoji16]
Ha ha ha ha ha haha!Ni hawa hawa utopolo ndio waliokua wanamwaga maunga kule nigeria
Ule unga mbona ulionekana wazi kua ni wa bahresa
Simba 3-1 Plateau
Nyoooo
Mjidai mfyuuuu
Na mtabomondwa huku mkiwa kwenu.