Uwanja wa Benjamin Mkapa | Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC Vs Plateau United

Uwanja wa Benjamin Mkapa | Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC Vs Plateau United

10' Simba SC walipata kona kuelekea Plateau United ambayo hazikuzaa bao

Simba SC 0-0 Plateau United
 
Kwann simba huwa hachezi namna hii kwa Utopolo, ama utopolo ni ngumu sana kuichezea namna hii.??????? Naomba nijibiwe tafadhali
 
Hivi sisi watanzania tuna ugonjwa gani kwani?
Ujue nimewaza sana mbona kule Nigeria tulifanyiwa kila aina ya figisu na sikuwaona wapinzani wa Plateau wale Enyimba wakiwapokea Simba wala kuwapa ushirikiano wowote kuwasaidia?

Inamaana ujinga huu tunaujua sisi tu wabongo? Hakika wanatudharau sana hawa wanigeria kwa hiki wanachokiona hapa.
Ulipaswa uanze na kujiuliza Simba walivyoipokea na kuishangalia TP Mazembe.
 
Back
Top Bottom