Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kila la Heri Plateau United, tupindue meza kibabe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam mpira umeanza kwa kasi kubwaMpira umeanza uwanja wa Benjamin Mkapa
Simba SC 0-0 Plateau United
Hawa jama wanagonga!
Na mwenzake mzamilu, yani right wing hakuna kitu kabisa.Dilunga kila mpira anapoteza.
Yaani Dilunga ampishe Kahata au Ndemla mapema sanaDilunga kila mpira anapoteza.
Yaani Dilunga ampishe Kahata au Ndemla mapema sana
Ulipaswa uanze na kujiuliza Simba walivyoipokea na kuishangalia TP Mazembe.Hivi sisi watanzania tuna ugonjwa gani kwani?
Ujue nimewaza sana mbona kule Nigeria tulifanyiwa kila aina ya figisu na sikuwaona wapinzani wa Plateau wale Enyimba wakiwapokea Simba wala kuwapa ushirikiano wowote kuwasaidia?
Inamaana ujinga huu tunaujua sisi tu wabongo? Hakika wanatudharau sana hawa wanigeria kwa hiki wanachokiona hapa.