KANYIMBI
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,167
- 4,374
Kwa tareha ya leo, nyota ya ushindi ipo kwa mwenyeji. Atashinda goli 1 au 3 kwa idadi isiyogawanyika kwa mbili.Magoli yote kwa mchezo wa leo yataanzia manne (4) kuendelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa tareha ya leo, nyota ya ushindi ipo kwa mwenyeji. Atashinda goli 1 au 3 kwa idadi isiyogawanyika kwa mbili.Magoli yote kwa mchezo wa leo yataanzia manne (4) kuendelea.
Mpira ukiisha tutaona Nani jipu lake limewahi kupasuka.Tuliza kipele
Kamanda Gide Mtopolo maarufu JF leo hesabu maumivu, nyie endeleeni kupekua makabrasha ya LaLiga kaka.Plateau daima mbele nyuma mwiko