Uwanja wa Benjamin Mkapa | Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC Vs Plateau United

Wazalendo wa nchi tu ndo tukutane hapa, cha kushangaza kenge kibao watajoin na dua zao mbaya kwa taifa. Haya mautopolo ni kama machadema tu asee.
Mkuu acha kufananisha Utopolo na akili kubwa!
Hujui kuwa Chama chako kina unasaba na Utopolo,!
 
Nimesikitishwa na kitendo cha utopolo kwenda kuipokea Plateau airport. TfF iwafungie waliohusika kujihusisha na masuala ya soka maisha yao yote.

Hii ni picha mbaya sana kwa shirikisho letu la soka. Fungia utopolo hao.
 
Mkuu upo vizuri Sana kwa kuanisha nyuzi za mechi ya moja kwa moja...nashauri update kama hizi uwe unaziweka kwenye uzi wetu Rasmi wa Simba sports maana uzi wetu umedumaa wanatuzidi hata UTOPOLO kuwa na comments nyingi angalau tumewazidi Kila kitu na sisi tunavyovingi vya kujivunia...sehemu nyingine ya mitandao ya kijamii tumewaacha mbali Ila humu wametuzidi
 
Kuna application za kuongeza comments, download ziwe nyingi

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Tutawaeleza Mods waunganishe nyuzi zetu zoooote za VPL uzi wetu utakuwa na posts mara 100 ya Utopolo usijali.
 
Mkuu fanya research fupi kwenye huo uzi wa yanga kisha uniambie ni comments za namna gani zilizojaza uzi

Uzi ule umejaa comments za lawama na manung'uniko wakiwashutumu viongozi wao. Angalia katika sakata la morrison jinsi mashabiki wa yanga walivyojawa na gubu


Fatilia siku ile tuliyowapiga goli nne, wana yanga wote waliususa ule uzi wa updates kisha waka-switch a side kwenda kwenye uzi wao kila mmoja kutoa la moyoni

hii ni siku ambayo comments zilitolewa na wadau kwa wingi sana, huku katika hizo comments hakuna comment ambayo ilikua ina positive contents

Sasa simba haina migogoro wala inferior kama yanga na ndio maana uzi wetu umetulia tu hakuna mabishano wala maombolezo kwasababu timu inafanya vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…