Uwanja wa Benjamin Mkapa | Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC Vs Plateau United

Magoli yote kwa mchezo wa leo yataanzia manne (4) kuendelea.
Kwa tareha ya leo, nyota ya ushindi ipo kwa mwenyeji. Atashinda goli 1 au 3 kwa idadi isiyogawanyika kwa mbili.
 
Ngoja nijaribu mahesabu ya Sheikh
S=24
P=21

Leo Simba anashinda tena kiulainii kwani siku na tarehe na mwezi vinambeba. Nyota ya Simba leo inang'aa kwani inakaribiana na siku ya leo tofauti na plateu.

Masahbiki wa Simba nendeni uwanjani kifua mbele.


NB. Msiniulize nimejuaje.
 
Kikubwa kitiwe kikosi cha maangamizi..ndani ya dk 90 ,wale wazee wa kujipendekeza natumai watakua wameloa
 
FT Simba 2 Plateau 0...Aggregate 3:0 ni hayo tu kwa sasa
 
Simba nyuka hizo boko haram za naijeria Tatu bila[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nitashangaa sanaaaa Simba Kama Hawata Wafanyia Figisuuu hiii Timuuuu kwa Kile walichofanyiwa
 
Tupo ila jamaa wa Plateau United walifanya mashambulizi makubwa kule Jos jimbo la Plateau nchini Nigeria.

Wakirudia tena mashambulizi yale hapa B. Mkapa stadium hali itakuwa hatihati dakika zote 90' za mchezo leo jijini Dar es Salaam na lolote linaweza kutokea kwa timu hizi mbili zinazoshiriki mashindano haya ya CAF.
 
All the best simba.

Plate ya pilau siwajui mie

#yangadaima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…