Uwanja wa Benjamin Mkapa | Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC Vs Plateau United

Uwanja wa Benjamin Mkapa | Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC Vs Plateau United

Daah yaani Tanesco wa sumbawanga ni wapumbavu wakubwa kabsa, sijawai ona upumbavu wa tanesco kama unaofanywa mkoa wa rukwa
 
90+2'

Naaaam mpira umekwishaaaa ambapo Simba SC inasonga mbele hatua inayofuata

Simba SC 0-0 Plateau United
 
Back
Top Bottom