Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Level zako ni biashara united, kmc n.k hizi matches za wanaume achana nazo. Maana hata katika 50 bora afrika haupo.🤣🤣🤣🤣🤣hahaha mbumbumbu huwa mnadanganywa kidogo sana jamaa wamefika jana na uchovu badala mfikirie kupanga timu mnakimbilia kufunga wakat mchezo wa bonanza
hahahaha ilikua mechi ya kuwapima mlio wasajili ila morisoni kaingia na mbwembwe hadi mmesahau kuangalia walioletwa wanafaa kupunguza zile 5 ama laah
ukubwa upi unao zungumzia kua na washabiki wengi maandazi ama
Nilitegemea nione mkijadiri viwango vya.mlio wasajiri nyie mnazungumzia upuuzi wa morison
Nilichoona
Huyo Morrison hana busha kama inavyodaiwa.
Ila tu kapigwa stop kucheza mashindano yoyote yanayotambuliwa na CAF mpka shauri la kesi litakapokwisha ..
kuwa hata 3 bora ila mechi kama hii ya majaribio kuipakia mkongo ni upumbavu hamkuona wenzenu wanaangalia wapi kuna shida ya kiufundi nyie mmekazana kutaka ushindi mje kujisifia upuuzi kama huu
kweli za kinataifa zingekuwa za kimataifa kidogo wangekuwa wanajielewa
So what kujisifia mechi ya kirafiki wakati ya kikubwa Unguja juzi kati ulikalia.ulaya umeingiaje hapa,jibu swali mko nafasi ya ngapi CAF. mara ya mwisho kuchukua kombe VPL na FA ilikuwa lini?
tatizo co mechi ya kirafiki ni mazoezi ya cku 2 anapigwa mtu 4 je.wakikaa mwezi sema mwenyeweSo what kujisifia mechi ya kirafiki wakati ya kikubwa Unguja juzi kati ulikalia.
Unateseka ukiwa wapiKombe lako liko kabatini, unaliiba unakuja kulitenga mezani sebuleni. Unajiita mjuzi kama siyo ushoga ni nini?
Tulia wew mwakalebela fcswala mfu, hahaha umekula kibudu mkuu tena kwa kujisifu umeua hahaha
Naona zile goal 4-1 za fa zinakutesa Hadi umeziweka avatarhuwez teswa na goli 3 za penati, kama una akili timamu
avata ni ile kati ya watu 4 basi mmoja dishi limeyumbaNaona zile goal 4-1 za fa zinakutesa Hadi umeziweka avatar
Yule kocha wenu hakukuosea kuwaita manyani na unasadifu kabisaavata ni ile kati ya watu 4 basi mmoja dishi limeyumba
zile goli 4 ambazo mlikuwa mshatoa hongo kwa morisoni baada ya kuwapiga cha nguruwe
Rejea kumbukumbu zako vizuri henry hakufunga goli kwa mkononaikumbuka ile penati mkuu si ile ya yondani na kagere ama
maradona anakumbukwa kwa goli la mkono na tambwe pia usimsahau henry kuivusha ufaransa alipiga la mkono
Utaona utakapo anza kuzikalia za ukweli.
sina haja ya kurejea mkuu henry aliushika kama alivyo shika hamisi tambwe na kuwauwa nyau. baada ya kuushika alifunga kwa mguu kama tambweRejea kumbukumbu zako vizuri henry hakufunga goli kwa mkono
alikuwa sahihi kama aliye waita mbumbumbuYule kocha wenu hakukuosea kuwaita manyani na unasadifu kabisa
Mwakalebela fc
Mashabiki wa yanga ni manyani na mbwa. Luc Eymael.avata ni ile kati ya watu 4 basi mmoja dishi limeyumba
zile goli 4 ambazo mlikuwa mshatoa hongo kwa morisoni baada ya kuwapiga cha nguruwe
Mashabiki wa yanga ni manyani na mbwa. Luc Eymaelalikuwa sahihi kama aliye waita mbumbumbu
avata ni ile kati ya watu 4 basi mmoja dishi limeyumba
zile goli 4 ambazo mlikuwa mshatoa hongo kwa morisoni baada ya kuwapiga cha nguruwe
washabiki wa nyau ni mbumbumbu aden rage