Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup, Simba SC Vs Al Hilal Club

Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup, Simba SC Vs Al Hilal Club

hahahaha ilikua mechi ya kuwapima mlio wasajili ila morisoni kaingia na mbwembwe hadi mmesahau kuangalia walioletwa wanafaa kupunguza zile 5 ama laah



ukubwa upi unao zungumzia kua na washabiki wengi maandazi ama

Nilitegemea nione mkijadiri viwango vya.mlio wasajiri nyie mnazungumzia upuuzi wa morison

Team za kimataifa zinacheza. Wewe uwe mshangiliaji tu.
 
Nilichoona
Huyo Morrison hana busha kama inavyodaiwa.

Ila tu kapigwa stop kucheza mashindano yoyote yanayotambuliwa na CAF mpka shauri la kesi litakapokwisha ..
IMG_20210127_190949.jpg
 
kuwa hata 3 bora ila mechi kama hii ya majaribio kuipakia mkongo ni upumbavu hamkuona wenzenu wanaangalia wapi kuna shida ya kiufundi nyie mmekazana kutaka ushindi mje kujisifia upuuzi kama huu

Why unaumia wewe?unaona kupigwa 4-1 ni haki yako peke yako? Acha wanaume wacheze waliokuwa kwenye 20 za CAF ninyi mademu mlioachwa shangilieni tu. Unaumia ukiwa pande zipi za Tz? Pole...na wewe tafuta team ambazo zilicheza mapinduzi jipime nazo.
 
Naona zile goal 4-1 za fa zinakutesa Hadi umeziweka avatar
avata ni ile kati ya watu 4 basi mmoja dishi limeyumba

zile goli 4 ambazo mlikuwa mshatoa hongo kwa morisoni baada ya kuwapiga cha nguruwe
 
avata ni ile kati ya watu 4 basi mmoja dishi limeyumba

zile goli 4 ambazo mlikuwa mshatoa hongo kwa morisoni baada ya kuwapiga cha nguruwe
Yule kocha wenu hakukuosea kuwaita manyani na unasadifu kabisa
Mwakalebela fc
 
naikumbuka ile penati mkuu si ile ya yondani na kagere ama

maradona anakumbukwa kwa goli la mkono na tambwe pia usimsahau henry kuivusha ufaransa alipiga la mkono
Rejea kumbukumbu zako vizuri henry hakufunga goli kwa mkono
 
Rejea kumbukumbu zako vizuri henry hakufunga goli kwa mkono
sina haja ya kurejea mkuu henry aliushika kama alivyo shika hamisi tambwe na kuwauwa nyau. baada ya kuushika alifunga kwa mguu kama tambwe
 
Back
Top Bottom