rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Nunia na wewe njama zenu zimebumburukaKwa hiyo umepata la kuzungumza kwa kuwa Jana ulinunua 7-0 ili kunyamazieha kelele la mashabiki na aibu ya uwekezaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunia na wewe njama zenu zimebumburukaKwa hiyo umepata la kuzungumza kwa kuwa Jana ulinunua 7-0 ili kunyamazieha kelele la mashabiki na aibu ya uwekezaji
Saa 3 bado haijafika mkuu?Kuanzia saa tatu usiku huu Yanga itakuwa inaongoza ligi,na haishuki hapo mpaka ubingwa
ongoza basi mkuuKuanzia saa tatu usiku huu Yanga itakuwa inaongoza ligi,na haishuki hapo mpaka ubingwa
umesahau simba imepoteza mechi 2, na jumamosi inafungwa nigeria, mechi za kimataifa hazina kupanga matokeoUTO mpo kimyaaaa, lakini kaeni mkijua bado alama 2 ile game ya jana ndo uwezo wenu..!
Kama lilikataliwa siyo goli....stupidEti kihalali wewe kweli ni utopolo. Mechi dhidi ya gwambina ilipaswa mpigwe maana goli halali la gwambina lilikataliwa na leo mmebebwa sana sema uwezo wa utopolo ni mdogo
Kwani mikia hamjawaji kufungwa nyingi na Yanga? Nyingi zenu dhidi ya Coastal nilikuwa za kununua ili kunyamazisha mashabiki kuhusu taarifa ya FCC...nyingi zenu za 4-1 dhidi ya Yanga zilikuwa za kununua ambapo wachezaji wanna wa Yanga walihusika na hivi Sasa hawako na Yanga Tena...nyingi nyine za 5-0 dhidi ya Yanga miaka kadhaa iliyopita zilikuwa ni hujuma ambapo mfanyabiashara mmoja alitaka mwenyekiti wa Yanga ang'oke madarakani...umesikia dogo? Niendelee kukuelimisha?Kwani utopolo haijawahi fungwa nyingi na simba?
Kwa hiyo simba huwa inawafunga nyingi Utopolo na Coastal union tu? Vipi Kuhusu gwambina na biashara ilikuwa ni kutuliza nini walipofungwa nyingi na simba? Utopolo fikiria unapotaka kuandikaKwani mikia hamjawaji kufungwa nyingi na Yanga? Nyingi zenu dhidi ya Coastal nilikuwa za kununua ili kunyamazisha mashabiki kuhusu taarifa ya FCC...nyingi zenu za 4-1 dhidi ya Yanga zilikuwa za kununua ambapo wachezaji wanna wa Yanga walihusika na hivi Sasa hawako na Yanga Tena...nyingi nyine za 5-0 dhidi ya Yanga miaka kadhaa iliyopita zilikuwa ni hujuma ambapo mfanyabiashara mmoja alitaka mwenyekiti wa Yanga ang'oke madarakani...umesikia dogo? Niendelee kukuelimisha?
aaah usipanic utopolo sijasajili mimi hilo timu lenu la mpira maharage yaliyochacha.Kama lilikataliwa siyo goli....stupid
Mnyero kwahiyo amtodondosha point tena mpaka ligi iishe sio?UTO mpo kimyaaaa, lakini kaeni mkijua bado alama 2 ile game ya jana ndo uwezo wenu..!