Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL' Yanga SC Vs Namungo FC

Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL' Yanga SC Vs Namungo FC

Wazee wa Yanga amkeni vijana wamefungwa miguu kumbuka Yanga ana maadui wengi sana wazee msikwepe wajibu wenu vinginevyo ubingwa hakuna
 
Yanga imecheza vizuri kilicho kosekana ni ushindi, Namungo pia wamecheza vizuri walicho kikosa ni ushindi. Kwa ujumla hivyo ndivyo mpira ulivyo, kuanza kutafuta visingizio Kama Mbumbumbu fc ni ku ukosea mpira heshima. Hongereni Yanga na Namungo Kama mpira utakua ukichezwa kwa ushindani Kama Hivi ni Afya kwa soka la Tanzania.
 
127179785_198062532036052_1688842735331980349_n.jpg

hii ni baada ya simu za Senzo zishikiliwe polisi
 
Eti kihalali wewe kweli ni utopolo. Mechi dhidi ya gwambina ilipaswa mpigwe maana goli halali la gwambina lilikataliwa na leo mmebebwa sana sema uwezo wa utopolo ni mdogo
Kama lilikataliwa siyo goli....stupid
 
Mwendo wa depo tu.
Hii ndo yanga yetu tunayoijua.
Mtamkumbuka pierre
 
Kwani utopolo haijawahi fungwa nyingi na simba?
Kwani mikia hamjawaji kufungwa nyingi na Yanga? Nyingi zenu dhidi ya Coastal nilikuwa za kununua ili kunyamazisha mashabiki kuhusu taarifa ya FCC...nyingi zenu za 4-1 dhidi ya Yanga zilikuwa za kununua ambapo wachezaji wanna wa Yanga walihusika na hivi Sasa hawako na Yanga Tena...nyingi nyine za 5-0 dhidi ya Yanga miaka kadhaa iliyopita zilikuwa ni hujuma ambapo mfanyabiashara mmoja alitaka mwenyekiti wa Yanga ang'oke madarakani...umesikia dogo? Niendelee kukuelimisha?
 
Kwa hiyo simba huwa inawafunga nyingi Utopolo na Coastal union tu? Vipi Kuhusu gwambina na biashara ilikuwa ni kutuliza nini walipofungwa nyingi na simba? Utopolo fikiria unapotaka kuandika
 
Hivi lile goli walilofunga Namungo wangekuwa wamefunga dhidi ya Simba kesho yake sijui vichwa vya habari vingekuwaje wengine wangesema beki ya simba yazidi kuonyesha ubovu, Simba yaponea chupuchupu na madoido kibao yule mfungaji angekuwa anahojiwa na kupachikwa majina kibao kama muuaji wa Simba lakini kwa sababu qalifunga na upotolo hatusikio chochote hata kama goli.lilifungwa wakiwa pungufu
 
Back
Top Bottom