Uwanja wa Dkt. Samia Arusha haukidhi viwango vya FIFA

Bei yake inadaiwa ni mara tano ya bei ya Mkapa inayokalisha watu 60,000. Sasa jiulize nipesa za mkopoa za kampeni ziko ndani ama?
Itabidi tuchunguze viwanja vya majirani vyao vinajengwa bei gani?? Hii bilioni mia mbili themanini nakitu naona ninyingi mmno!!
Kuitwa sa100 wakati kinajengwa kwapesa za kodizetu niuchawa mwingine! Labda kama ni juhudi zake binafsi
 
Anko Magu hakuwa mpigaji kama huyu Mzenji, kuna harufu ya ufisadi ndani yake bila ya kupepesa macho.
 
busara inanielekeza kukaa kimya kwa utulivu..
 
Kwanini hizo pesa wasingezielekezea kurekebishia viwanja vilivyochoka! Mwanza, shinyanga, dar, mbeya n.k! Sasa Arusha na mpira wapi na wapi ndugu zangu! Mama akae na afikirie mara mbili mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…