Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
KJwani usiitwe "Uwanja wa Samia Suluhu Hassan" badala ya kuwa na "Dr. Samia?" Je kutakuwa na uwezekano wa kuwa na uwanja wa "Mrs. Samia"Kwanini uitwe na Dr Samia badala hata ya Ngorogoro?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KJwani usiitwe "Uwanja wa Samia Suluhu Hassan" badala ya kuwa na "Dr. Samia?" Je kutakuwa na uwezekano wa kuwa na uwanja wa "Mrs. Samia"Kwanini uitwe na Dr Samia badala hata ya Ngorogoro?
Kuna sehemu nilisoma kuwa unaitwa uwanja wa "Dr. Samia." Sikuona ulazima wa kusema "Dr. Samia: kwani vile vile anaweza kuwa "Mrs. Samia." Baadaye nimeona maandiko mengine yanayosema utaitwa uwanja wa "Samia Sukuhu Hassan" ambalo ndilo jina halisi linalotakiwa litumikeHujaeleweka boss
Kizungu gani hicho, Mrs Samia.. ?Kuna sehemu nilisoma kuwa unaitwa uwanja wa "Dr. Samia." Sikuona ulazima wa kusema "Dr. Samia: kwani vile vile anaweza kuwa "Mrs. Samia." Baadaye nimeona maandiko mengine yanayosema utaitwa uwanja wa "Samia Sukuhu Hassan" ambalo ndilo jina halisi linalotakiwa litumike
Chawa hutawaweza baba.Anatoa pesa ake au uwanja upo kwenye budget ya serikali? tuacheni ujinga
Matanzania Majinga sana.Hili nalo ni janga ,utasema mama kalima mazao kauza amekuja kutugawia pesa
Watu tunalipa Kodi kwa shida ila serikali inatupa huduma kwa vijembe, utaskia mama kawajengea barabara, yaani ujinga mtupu Africa hii
Jinga weweNdio anaye toa pesa.. hujasikia haya mambo
Watu wezi sana gharama ya uwanja huo ni mara tano ya Mkapa.Mbona huu uwanja utajengwa Kwa gharama kubwa kuliko ule wa mkapa na huu ukubwa wake ni nusu tu
Fifa hawafanyi mashindano kwenye viwanja vya nyasi bandia.Kusema kweli nchi hii ina matatizo makubwa ya kiuongozi..hivi kati ya vipaumbele vyote vinavyoweza kubadilisha hali ya maisha ya watanzania kujenga stadium ndio iko juu kuliko kujenga bomba la gas angalau lifike dodoma, au kuleta maji ya ziwa Victoria yaliyoishia Tabora angalau yafike singida, au basi kuuongezea nguvu mfuko wa bima ya afya ulio na matatizo ya mtaji ili uhudumie wengi zaidi..KWA NINI SERIKALI INAJIINGIZA KWENYE UJENZI wa mambo ambayo sekta binafsi ina fursa ya kuyafanya? Kwa nini siku za nyuma ccm ndio ilijenga stadiums na si serikali? Unajenga stadium kwa ajili ya tukio la mwezi mmoja? Hivi michezo inachangia kiasi gani kwenye pato la taifa? au ushiriki wetu Tanzania kimataifa kwenye michezo ukoje? ni kweli kuna lazima ya kujenga stadium? Kwa sasa kuna mashindano Ghana ya All Africa Games mpaka sasa Tanzania hata medali tu ya fedha hakuna..ya nini kutupa pesa yote hiyo kujenga stadium wakati sisi si hodari kwenye eneo la michezo?
Azam mbona ana stadium nzuri kabisa, kwani hakuna wengine wanaoweza kujenga stadium? Si jukumu la serikali kujenga stadium kwa hali na mazingira tuliyo nayo sasa! Kila mahali ni miradi ya ujenzi, vyuo, madarasa, mabweni, makao makuu ya wilaya mpya..nk nk ni nini hii? Halafu kesho unasikia waziri wa fedha amesaini mkopo..hizo hela źinazokopwa kwa nini hizi za ujenzi kila mahali zisitumike kwenye hayo yanayokopewa hela? Kwa hali hii Mungu atupe uzima, nawaambia mwaka ujao sukari, unga, mafuta vitapanda tena na hali itakuwa ngumu kuzidi hii ya sasa! na chanzo chake ni matumizi yasiyofaa kama haya ya kujenga stadium kwa ajili ya tukio la mwezi mmoja!
Utakijua mwenyewe; kwani Dr. Samia ni kizungu ganiKizungu gani hicho, Mrs Samia.. ?
Chawa ni wapumbavu haswaChawa hutawaweza baba.
Basi utaitwa Freema Aikael MboweKwanini uitwe na Dr Samia badala hata ya Ngorogoro?
Nyumbu wa chademea bana ,hivi hata time value of money inawapiga chenge?Bei yake inadaiwa ni mara tano ya bei ya Mkapa inayokalisha watu 60,000. Sasa jiulize nipesa za mkopoa za kampeni ziko ndani ama?
Itabidi tuchunguze viwanja vya majirani vyao vinajengwa bei gani?? Hii bilioni mia mbili themanini nakitu naona ninyingi mmno!!
Kuitwa sa100 wakati kinajengwa kwapesa za kodizetu niuchawa mwingine! Labda kama ni juhudi zake binafsi
Lema hataka huo uwanja ujengwe ArushaUwanja hujajengwa ushapata na jina?
Haya ndo mambo ya kupanga idadi na majina ya watoto katika penzi jipya.
Lema ndio amekutuma ? Hataki huu uwanja aiseeKwanini hizo pesa wasingezielekezea kurekebishia viwanja vilivyochoka! Mwanza, shinyanga, dar, mbeya n.k! Sasa Arusha na mpira wapi na wapi ndugu zangu! Mama akae na afikirie mara mbili mbili
Tangia lini nyumbuwa wa mzee Mbowe wakawa na busara?busara inanielekeza kukaa kimya kwa utulivu..
Nyumbu wanataka iwe hivyo 🙆♂️🙆♂️🙆♂️Uwanja uitwe Mbowe mambo yaishe🙂