Uwanja wa Entebe kuchukuliwa na China kwa ajili ya Mkopo, Mashabiki wa Bagamoyo kaeni mkao wa kula

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Jisomeeni wenyewe

===

Faced with the need to expand the transport sector in tandem with regional infrastructural development, Uganda launched an aggressive and ambitious 20-year civil aviation masterplan which included the upgrade of its only international airport in Entebbe along the shores of Lake Victoria, 43km south of the capital Kampala.

The refurbished airport would handle about 150,000 operations a year, as the landlocked country looked at making its main gateway a regional hub.

On March 24, 2015, Finance minister Matia Kasaija asked Parliament to approve a $325 million (Ush1.1 trillion) loan from Exim Bank of China for the expansion works on the airport. The money was approved, and the works started in January the following year. Addressing the MPs, Mr Kasaija said it was the best offer available and that they had to take it very quickly.

The upgrade would see the modification and modernisation of the main terminal building to handle an expected increase in traffic, a new cargo centre, and multi-storey parking.
Red flags

However, as construction was ongoing, the Uganda Civil Aviation Authority (UCAA) managers feeling uncomfortable with some clauses of the loan agreement raised red flags.
Related

Some 13 clauses were deemed unfriendly and as good as mortgaging the airport and eroding the country’s sovereignty. The most troubling for the aviation bosses was a clause that gave Exim Bank the sole authority to approve withdraws of funds from the UCAA accounts.

The bank also had the power to approve annual and monthly operating budgets, which it could reject, and the rights to inspect the government and UCCA books of accounts. The China International Economic and Trade Arbitration Commission (CIETAC) in Beijing also had the mandate to resolve disputes.

First to raise the alarm was the former UCAA managing director David Kakuba who warned that failure to amend the clauses could expose government assets to attachment and take over by China.

A team led by former envoy to China Dr Crispus Kiyonga in 2019 was told outrightly that there would not be any amendment to the loan agreement.
Stringent measures

Planning Minister Amos Lugoloobi admitted that the loan was poorly negotiated and signed but that the ministry has put in place stringent measures, including setting up an entire department to ensure loans are closely monitored so that the country does not slip into debt distress.

“We have restricted borrowing to only critical projects, and we ensure our loan ratio does not go beyond 50 percent of the GDP,” he said. Uganda’s current debt ratio to GDP is about 45.7 percent.

Read: Uganda joins neighbours in seeking $750m in new loans

Mr Lugoloobi ruled out any kickbacks during the negotiations, although President Yoweri Museveni has previously castigated technocrats seeking bribes, inflating projects’ costs, and influencing negotiations.
‘No cause for alarm’

Attorney General Kiwanuka Kiryowa playing down the fears of the airport takeover says there is no cause for alarm because no property of Uganda has been mortgaged. He added that the loan was a commercial contract with an obligation to both parties.

“When you borrow money, your obligation is to pay. If you do not pay, the other party can take you to court, in which case this would be CIETAC,” he said.

“Let everyone do their part. The airport makes money and will meet its obligations.”

The AG says the agreement is not unusual and requires no amendment.

Finance minister Kasaija said in case of a loan default, the government would intervene. “In the unlikely event that UCAA were to fail to generate sufficient revenue to service the loan, the central government will step in,” he said.
 
Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.

So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.

Just get your facts right.
 
Sure, watu wanaropoka sana ndio maana tunafungiwa mitandao
Unawezaje kusema watu wanaropoka..! Au una lako jambo

Watanzani wa kawaida tunakumbuka maneno ya hayati raisi wa awamu ya 5 mh Magufuri

Kwamba vigezo na masharti vya mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo ni vya kihuni, na aliongea peupe na kujaribu kudodosa baadhi ya vifungu..(ningeambatanisha hiyo video hapa ila device ninayotumia hairuhusu)

Na ni Kweli ni vya kihuni ikiwa alichokisema kilikuwa ni sahihi

Halafu kwanini tuhangaike kote huko kuchukua neno la huyu mala yule.! Kwani chombo kama bunge kazi yake nini.?

Lijadiliwe kweupe tu watanzani hatuna shida sisi tutaridhika tu hata kama tunapelekwa chaka
 
Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).
Kwanini waweke masharti kwamba kusiendeshwe shughuli zingine za kibandari kwenye hiyo pwani, na kwanini mkataba hauwekwi wazi ili wenye nchi wauone na kutoa maoni yao?
 
Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.

So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.

Just get your facts right.
Umesoma wapi hii? Mkataba umeuona?
 
Kuna miradi mingine ya nchi ni ya kujipinda kama nchi ili ikamilike, mfano miradi ya bandari, viwanja vya ndege, miradi ya reli na miradi ya nishati ya umeme. Miradi hiyo ikikamilika huwa ni vyanzo vikuu vya mapato ya nchi, ukiwekeza kwenye miradi hiyo lazima mwekezaji akupige mwingi kwa kutumia vipingele vya kubana vya mikataba ya kimataifa.
 
Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.

So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.

Just get your facts right.
Jipe moyo tu
 
Acha ujanja ujanja weka attachments hapa vinginevyo na wewe unaongea usicho kijua
 
Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.

So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.

Just get your facts right.
Una akili wewe? Mtu aje awekeze bila sharti lolote? Chunguza vizuri serikali ndiyo mdhamini na hapo ndipo iliyo shida. Acha upuuzi
 
Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.

So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.

Just get your facts right.
Wanakujaga na maneno matamu matamu hivi hivi.
Unafikiri Zambia, Kenya, Entebe waliambiwa kuwa baada itakuwa hivi
 
Unawezaje kusema watu wanaropoka..! Au una lako jambo

Watanzani wa kawaida tunakumbuka maneno ya hayati raisi wa awamu ya 5 mh Magufuri

Kwamba vigezo na masharti vya mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo ni vya kihuni, na aliongea peupe na kujaribu kudodosa baadhi ya vifungu..(ningeambatanisha hiyo video hapa ila device ninayotumia hairuhusu)

Na ni Kweli ni vya kihuni ikiwa alichokisema kilikuwa ni sahihi

Halafu kwanini tuhangaike kote huko kuchukua neno la huyu mala yule.! Kwani chombo kama bunge kazi yake nini.?

Lijadiliwe kweupe tu watanzani hatuna shida sisi tutaridhika tu hata kama tunapelekwa chaka
Tutamuamini vipi JPM ambaye mara nyingi tu alikuwa a lair.

Mfano kuna kipengele alisema kuwa tumewapa Wachina ardhi kwa miaka 99 kwenye huo mkataba wakati sheria za uwekezaji ndo zinasema hivyo hapa Tz..lakini yeye fastafasta tu kwa akatuambia tumepigwa..huyo ndo JPM.
 
Tutamuamini vipi JPM ambaye mara nyingi tu alikuwa a lair.

Mfano kuna kipengele alisema kuwa tumewapa Wachina ardhi kwa miaka 99 kwenye huo mkataba wakati sheria za uwekezaji ndo zinasema hivyo hapa Tz..lakini yeue fastafasta tu kwa akatuambia tumepigwa..huyo ndo JPM.
Nalijua hilo na ndio maaana nimesisitiza kwamba hakuna sababu ya kutupa imani yako kwa mtu yeyote

Chombo kama bunge ndio wajibu wake

Wapeleke bungeni lijadiliwe likipita sawa likishindikana sawa

Ila sisi watanzani tutabaki na ushahidi kwamba serikali ikiongozwa na wabunge wa chama fulani walipitisha hili na lile ndio tunachokitaka

Ili siku ikifika ya kunyooshana ushahidi uwepo
 
Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.

So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.

Just get your facts right.
Up to all hizi JV mnazosema na sisi tunaenda kukopa ili kushare, vipi una uhakika gani kama uko mnapoenda kukopa siyo hao hao mnaoningia nao JV ndiyo watakaopenyeza pesa zao?

Haya mambo siyo ya kuchukulia juu juu ndg mtanzania, kumbuka hata hao waganda au wakenya siyo kwamba waliona kutakuwa na ukandamizaji ila kuna secret issues ambazo huwa haziwekwi wazi mpaka maji yakifika shingoni labda!
 
Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.

So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.

Just get your facts right.
Pesa mtatoa wapi? Huo ni mkopo acha kutudanganya, tunajifanya eti Tz itatoa ardhi kisha mwekezaji ajenge poleni sana
 
Back
Top Bottom