Uwanja wa Entebe kuchukuliwa na China kwa ajili ya Mkopo, Mashabiki wa Bagamoyo kaeni mkao wa kula

Sio kuridhika tu lazima tusimame kutetea rasilimali zetu,Tanzania ni yetu sote kwanini wafaidi wachache?
 
Tukubali kuwa ni gharama kubwa kujenga bandari. Lakini kwa nini China ikope ili itukopeshe? ChIna ikikopa (EXim) italipa kwa interest. Sisi tukiikopa China tutalipa na interest yetu pamoja na yao. SWAli: Kwa nini tusikope sisi moja kwa moja, maana interest itakuwa nafuu.
 
Nadhani Kuna kitu hujaelewa, kampuni inatoka China ndio inakopa nasi titaform kampuni itatafuta pesa sasa kama serikali Ina pesa itatoa kama haina itakopa na sijasema itakopa China , itatafuta pa kukopa kulingana na watakavyoona inafaa.
 
Kwan sheria hazikosewi ? si ndo taratibu zetu hizo hizo zilizosema rais akifa kiti kinachukuliwa na makamo , aya leo mnaona kuongozwa na mtu asiyechaguliwa na raia kwenye nafas husik jinsi inavyotucost? Panyaroads wanarudi kwa kasi , wizi unashamili , ukabaji unarud kwa kasi na kibaya anaona anasafisha jiji halafu ana hatarisha usalama wa wanaoishi nje ya jiji , sasa piga mahesabu wanaoishi jijini ni asilimia ngapi ya wanaoishi nje ya jiji?
 
Huwa tunajitoa akili hivihivi mwisho wa siku tunabaki kulaumu viongozi. Kama ni totally Joint Venture hawawezi kutupa masharti ya kipumbavu. Masharti hayo ndiyo yatakayosababisha kupokonywa hiyo bandari. Tusubiri!!
 
Huwa tunajitoa akili hivihivi mwisho wa siku tunabaki kulaumu viongozi. Kama ni totally Joint Venture hawawezi kutupa masharti ya kipumbavu. Masharti hayo ndiyo yatakayosababisha kupokonywa hiyo bandari. Tusubiri!!
Nadhani una elimu ndogo sana kuhusu JV, sasa unataka mwekezaji asije na proposals? Hizo no proposal ndio mnakaa mezani kuzijadili, it's obvious kila upande huwa unajivutia kwake maana mtagawana faida kulingana na terms mlizoweka.

It's normal, ishu ni kukubali au kukataa baada ya majadiliano. Tatizo mmemsikiliza Magufuli mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…