Katuokoa kivipi wakati anatekeleza wajibu wake, au ulitegemea golini pawe patupu?Manula kawaokoa.
Unaijua tafsiri ya mchezaji kushika mpira?Wazee wa kubebwa. Pernalt ya wazi wamenyimwa Mtibwa,refa alikuwa karibu,aliona,akang'ata filimbi
Trust me game tunashinda hii.Acha kabisa, mpira una maajabu mkuu..NguvuMoja
Bila bima inakuwa ngumu kidogo. Anze kutoa assist.