Uwanja wa Jamhuri, Morogoro | Vodacom Premier League VPL : Mtibwa Sugar 0 - 3 Simba SC

Uwanja wa Jamhuri, Morogoro | Vodacom Premier League VPL : Mtibwa Sugar 0 - 3 Simba SC

Mtibwa lazima akaze sana kwenye hii game kwasababu katoka kupoteza game tatu mfululizo kabla ya hii ya leo.
 
Kipindi cha pili hichooo[emoji123][emoji123]
1581430005241.jpeg


Sent using OPPO Mobile Phone
 
Wazee wa kubebwa. Pernalt ya wazi wamenyimwa Mtibwa,refa alikuwa karibu,aliona,akang'ata filimbi
Unaijua tafsiri ya mchezaji kushika mpira?
Santos alikuwa anakimbia we ukiwa unakimbia huwa unabana mikono?

Nimeona IG haka kaclip kameanza kutembea sana hapa ndipo tunajua tofauti kati ya watu wa mpira na mashabiki wa mpira sijatizama mechi kwa kuwa sina access hiyo ila kwa kutazama kaclip haka ile haikuwa hiari yake mpira ulifata mkono, nyakati zingine jaribu kuweka ushabiki kando
 
VPL..Kipindi cha pili kimeanza hakuna mabadiliko kwa pande zote mbili
 
Hiki ndio kikosi cha Simba hata timu ikifungwa huna cha kulalamika.
 
Mfungaji nani jamani natumia Bet365 hawaonyeshi mfungaji nani
 
Back
Top Bottom