Uwanja wa Karume | Vodacom Premier League VPL' Biashara Utd Vs Simba SC

Uwanja wa Karume | Vodacom Premier League VPL' Biashara Utd Vs Simba SC

85' Shomari Kapombe yupo chini baada ya kupata rabsha

Biashara Utd 0-1 Simba SC
 
90+4'

Kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL

Anakwendaa Kwake Chombo Ramadhan, Simba SC wanazuia, mashambulizi tena kwenda kwa Simba loooo ni kona

Inapigwaaaa lakini golikipa wa Simba ananyaka

Mbele sasa nafasi kwa Simba Kwake Dilunga, lakini mpira unakatika na kutoka nje.

Bado muda mchache mpira kumalizika, kuna kila dalili Simba kuibuka na ushindi hapa

Dilunga Kwake Chamaaa

Naaaam mpira umekwishaaaa ambapo Simba wameibuka na ushindi wa bao moja bila majibu dhidi ya Biashara Utd

FT, VPL; Biashara Utd 0-1 Simba SC

Ghazwat
 
Hawa utelembwe ndio wa kucheza na mwarabu walai maandalizi ya hamsa yanahanzia kwa mkapa
 
Back
Top Bottom