Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilo goli la Simba lililokataliwa na refa kama wangekua ni Yanga wangelalama Dunia nzima.Simba SC wanakwenda....Kagere Gooooo laaaaaa, mwamuzi wa pembeni anakataa bao.... Offside
Hapo chama na miquissone wamecheza!?Hawa utelembwe ndio wa kucheza na mwarabu walai maandalizi ya hamsa yanahanzia kwa mkapa
kweli nyie ni mapaka fc hao sevilla uliwafunga? halafu ukijitapa nyau kucheza na sevilla na waarabu unataka wasemeje juzi tu wametoka kuchezana Buyern Munich mabingwa wa ulayatumecheza na sevilla afu we unasema muarabu?
Ujajibu swali bado,umeulizwa Fei toto bado analia au keshanyamaza?kweli nyie ni mapaka fc hao sevilla uliwafunga? halafu ukijitapa nyau kucheza na sevilla na waarabu unataka wasemeje juzi tu wametoka kuchezana Buyern Munich mabingwa wa ulaya
Acha mawazo ya kinyau nyau kwa mahana hiyo simba lazima hao wanganga wenu wacheze ndio ujue wamecheza simbaHapo chama na miquissone wamecheza!?
Tuliza mshono shabiki lia lia,,,,wanafungwa akina buyern na timu ndogo sembuse Simba!!....safari hii tutafika mpaka nusu fainali,, champions league....anza kula ndimu kabisakweli nyie ni mapaka fc hao sevilla uliwafunga? halafu ukijitapa nyau kucheza na sevilla na waarabu unataka wasemeje juzi tu wametoka kuchezana Buyern Munich mabingwa wa ulaya
Kwa hiyo kwa sasa tunaweza kusema "simba wanaipumulia yanga nyuma?"Simba ana point 42 na game mbili mkononi. Yanga 46
Kila timu ina engine za timu.....ukitaka ujue angalia Mukoko tonombe alivyobadili game jana.....bila yeye mlishaaibikaAcha mawazo ya kinyau nyau kwa mahana hiyo simba lazima hao wanganga wenu wacheze ndio ujue wamecheza simba
Kwani ujui fei toto alikua na huzuni ya kundokewa na maalim seif hivyo alikua katika maombolezoUjajibu swali bado,umeulizwa Fei toto bado analia au keshanyamaza?
Uto mnacheza na nani ligi ya mabingwa afrika?kweli nyie ni mapaka fc hao sevilla uliwafunga? halafu ukijitapa nyau kucheza na sevilla na waarabu unataka wasemeje juzi tu wametoka kuchezana Buyern Munich mabingwa wa ulaya
Acha mawazo ya kinyau nyau kwa mahana hiyo simba lazima hao wanganga wenu wacheze ndio ujue wamecheza simba
Kunywa soda, nitalipa Mimi hapa.Simba ana point 42 na game mbili mkononi. Yanga 46
Ukisikia ndoto za Abunuasi ndio ulizonazo hiyo nusufainali unadhani hilo kombe ni ndondokapu mlioindaa juzi kati, nyie jiandaeni kifikra kwani mwaarabu anakuja kuwaoa kwa mkapa hapo jumanneTuliza mshono shabiki lia lia,,,,wanafungwa akina buyern na timu ndogo sembuse Simba!!....safari hii tutafika mpaka nusu fainali,, champions league....anza kula ndimu kabisa
Mkuu sio vizuri kutumia neno nyumbu kwa binadamu mwenzako ungetumia 'utopolo' tu ili kupunguza makaliMnyama mkali kaingia mbugani ...
Nyani, chura, nyumbu wote wamejificha...
Leo kaenda kufanya biashara ya Jumla...
Rejareja kamwachia Utopolo na wifi zake
Vaa barkoa wewe corona hipo na inauaUnateseka ukiwa wapi
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ujui fei toto alikua na huzuni ya kundokewa na maalim seif hivyo alikua katika maombolezo
Mtani mechi inayofata mnacheza na nani?Acha mawazo ya kinyau nyau kwa mahana hiyo simba lazima hao wanganga wenu wacheze ndio ujue wamecheza simba