Uwanja wa Karume | Vodacom Premier League VPL' Biashara Utd Vs Simba SC

Yanga hata mbovu namna gani kwenye ligi haiwezi kufungwa no mikia mwaka juzi simba alishindwa kumfunga Yanga pamoja ubovu wote safari mmetoa sare mechi ya kwanza mkisawazisha dakika za majehi narudia kwenye ligi simba hawezi kumfunga Yanga Mikia ni Mikia tu hatuna jina jingine

1613667925411.png
 
Hukuhudhuria madarasani.
Mahana❌
Maana✅
Wanganga❌
Waganga✅

Nyie ndo mnasababisha Yanga wote tuonekane hatuna akili,vilaza. Kwanini hutaki shule? Si Uhudhurie Swahili Course?
Mbuzi kweli wewe sasa ulidhani mimi hapa nafanya mtiani wa kiswahili
 
Yanga hata mbovu namna gani kwenye ligi haiwezi kufungwa no mikia mwaka juzi simba alishindwa kumfunga Yanga pamoja ubovu wote safari mmetoa sare mechi ya kwanza mkisawazisha dakika za majehi narudia kwenye ligi simba hawezi kumfunga Yanga Mikia ni Mikia tu hatuna jina jingine
Aaaah utopolo bhana unajifariji kwa kujifanya kwenye FA kama vile mlichezesha u 20. Mlibugizwa migoli kwa kikosi kile kile cha ligi kuu halafu unajipa faraja eti kwenye ligi hamuwezi kufungwa au ile ilikuwa utopolo queens.
 
Msikimbie shule nyie vilaza kisha stress za maisha mnahamishia kwenye mpira. Hujui hata kuandika kilaza,bwege,nyani fc.😁😁😁😁😁
Wewe ambae ukukimbia shule unanini cha ajabu?
Yahani unajikuta mwalimu wa kiswahili kwenye majukwaa ya jf, inavyoonekana wewe ndio unastress, ungekua na muda wa kutumia usingekua na hiyo time chafu ya kukagua kiswahili changu mbuzi wa maziwa wewe
 
Umeandika madudu tu.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom