johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mwanza uwanja unaojengwa kwa sasa ni terminal ya kawaida tu, pia Mwanza ina wasafiri wengi sana kuliko KIAOk, sasa sio mjisifu kuumiliki tu, nataka muukarabati uwe na hadhi ya kisasa kama ule unaojengwa mwanza, hapo mtaeleweka zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza uwanja unaojengwa kwa sasa ni terminal ya kawaida tu, pia Mwanza ina wasafiri wengi sana kuliko KIA
Achana na siasa ww, KIA inapokea watu wengi zaidi ya Mwanza tena international visitors ndo wa kutosha. Angalia tu flightradar24.com then angalia arrival/departures ya siku nzima uone inashusha zaidi ya watu 3000 per day. ukoweka idadi ya watu wanao-depart na ku-arrive utajua faida ya KIA ni ipi.Mwanza uwanja unaojengwa kwa sasa ni terminal ya kawaida tu, pia Mwanza ina wasafiri wengi sana kuliko KIA
Good question.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani aliwapa wazungu?
Wakikujibu nitag!Nani aliwapa wazungu?
Are you sure?!Mwanza uwanja unaojengwa kwa sasa ni terminal ya kawaida tu, pia Mwanza ina wasafiri wengi sana kuliko KIA
Wazawa Au!?..siyo lazima serikali kumiliki viwanja vyote vya ndege nchini.
..uwanja wa ndege wa Gatwick ulioko Uingereza unamilikiwa na wawekezaji binafsi.