data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,942
- 23,893
KIA is the best managed and maintained international airport in Tanzania. And it was being operated by KADCO, not TAA.
Kifungo gani mkuu?Pole kwa kifungo
.
..sasa kwanini mmejenga CHATO badala ya Mwanza?
..zamani mlikuwa mnadai Wachagga wanawahujumu, ila sasa inaelekea mnahujumiana wenyewe.
..siyo lazima serikali kumiliki viwanja vyote vya ndege nchini.
..uwanja wa ndege wa Gatwick ulioko Uingereza unamilikiwa na wawekezaji binafsi.
Hujafika KIA ndo maana unahoroja na vichekesho vya Mwanza.Mwanza uwanja unaojengwa kwa sasa ni terminal ya kawaida tu, pia Mwanza ina wasafiri wengi sana kuliko KIA
Isn't this bigotry?
Wazawa Au!?
Ukitaka vichekesho hivi, bonyeza Kabudi ChatoburigiMwanza uwanja unaojengwa kwa sasa ni terminal ya kawaida tu, pia Mwanza ina wasafiri wengi sana kuliko KIA
Wachaga ni wezi..sasa kwanini mmejenga CHATO badala ya Mwanza?
..zamani mlikuwa mnadai Wachagga wanawahujumu, ila sasa inaelekea mnahujumiana wenyewe.
Upuuzi wa kutukuka. Kutoka serikali kulipwa dola 1000 kwa mwezi kwa miaka yote, tunaishia kuwalipa watu mabillioni?Waziri wa ujenzi mh Kamwelwe amesema kwa sasa Serikali inaumiliki uwanja wa KIA kwa asilimia 109 baada ya kuwalipa wazungu waliokuwepo kiasi cha dola za Marekani 5.6 milioni.
Kamwelwe amesema kwa sasa bodi ya uwanja huo ni ya wazalendo watupu na tayari wameanza kutoa gawio Serikalini na kwamba sifa za pekee zimwendee Rais Magufuli kwa kulisimamia jambo hili.
Chanzo: ITV habari!
..No.
..it is simply bigots getting a taste of their medicine.
Piga hesabu vizuri,USD 5,600,000.Wazungu walipewa uwanja huo kwa kulipa pesa ambazo thamani yake ilikuwa sawa na mabeberu 80. Je hizo billioni tano na ushehe ni sawa na mabeberu ya mbuzi 80?
Aliyetuloga watz alikufa. Sasa naamini
Tungewahi kufika kama hao waliotukwamisha awali wangechukuliwa hatua stahiki. Pamoja na juhudi za Magufuli, bado ameendelea kuwalinda wahalifu wakubwa kama wale waliojiuzia mgodi wa kiwila.Tutafikatu
Nje ya mada..sasa kwanini mmejenga CHATO badala ya Mwanza?
..zamani mlikuwa mnadai Wachagga wanawahujumu, ila sasa inaelekea mnahujumiana wenyewe.
Mwanza airport haina wasafiri wengi kana KIA. Siasa weka pembeni jadili uchumiMwanza uwanja unaojengwa kwa sasa ni terminal ya kawaida tu, pia Mwanza ina wasafiri wengi sana kuliko KIA
Ni nani aliufanya binafsi !!!
Achana na siasa ww, KIA inapokea watu wengi zaidi ya Mwanza tena international visitora ndo wakutosha. Angalia tu flightradar24.com then angalia arrival/departures ya siku nzima uone inashusha zaidi ya watu 3000 perday. ukoweka idadi ya watu wanaodepartna kuarrive utajua faida ya KIA n ipi