Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Mwanza uwanja unaojengwa kwa sasa ni terminal ya kawaida tu, pia Mwanza ina wasafiri wengi sana kuliko KIA
Waziri wa ujenzi mh Kamwelwe amesema kwa sasa Serikali inaumiliki uwanja wa KIA kwa asilimia 109 baada ya kuwalipa wazungu waliokuwepo kiasi cha dola za Marekani 5.6 milioni.
Kamwelwe amesema kwa sasa bodi ya uwanja huo ni ya wazalendo watupu na tayari wameanza kutoa gawio Serikalini na kwamba sifa za pekee zimwendee Rais Magufuli kwa kulisimamia jambo hili.
Chanzo: ITV habari!
Mkuu wakikupa jibu utanijulisha na mimi.Nani aliwapa wazungu?
Wana maspeed sanaAsilimia 109!
Jr[emoji769]
Mwanza ipi? Wasafr mwanza ni robo ya KIAMwanza uwanja unaojengwa kwa sasa ni terminal ya kawaida tu, pia Mwanza ina wasafiri wengi sana kuliko KIA
kwahiyo hawa wazungu walikuwa wanauendesha kwa hasara tumewalipamkwa kazi gani sasa? haya mbona mambo ya hovyo namna hii? hivi hatuwezi kuwashitaki wanasheria walio draft hiyo mikataba?Waziri wa ujenzi mh Kamwelwe amesema kwa sasa Serikali inaumiliki uwanja wa KIA kwa asilimia 109 baada ya kuwalipa wazungu waliokuwepo kiasi cha dola za Marekani 5.6 milioni.
Kamwelwe amesema kwa sasa bodi ya uwanja huo ni ya wazalendo watupu na tayari wameanza kutoa gawio Serikalini na kwamba sifa za pekee zimwendee Rais Magufuli kwa kulisimamia jambo hili.
Chanzo: ITV habari!
Yaan huyo jamaa sijui anaishi maeneo gani mpaka adhubutu kusema mwanza ina abiria wengi kuliko kia je alishaona KLM ikitiwa mwanza?namshauri aende pale kia kwa siku tatu aangaliye watalii wanaoingia pale na wanao safiri kwanza kwa taarifa uwanja wakia kiusama ni uwanja mzuri sana na unaeneo kubwa sana kutoka barabara ya Arusha mpaka ufike getini kuna urefu Wa kilometa 6 siyo kama Wa mwalim nyerere kutoka barabarani hakuna hata mita miatanoHivi unaujua KIA au unabwabwa tu
1.Fly Dubai kila siku
2.Ethiopia kila siku Airbus 350 kila siku
3. KLM Airbus 350 kila siku
4. Emirate Dream liner kila siku
5. KQ Boeing 737 kila siku
6. The Cranes kila siku
7. Rwanda Air kila siku
Hayo ni mashirika ya ndege kwa uchache tu.
Viwanja vyote Tanzania vinaendeshwa (operated) na Tanzania Aiports Authority (TAA) isipokuwa uwanja wa Kilimanjaro (KIA) ulikuwa (outsourced) na ukawa operated by Kilimanjaro Airports Development Company (KADCO).
Kwa sasa umerudishwa serikalini chini ya TAA
Sent using Jamii Forums mobile app
Chato ni Uwanja wa mikakati ya ulinzi na usalama wa nchi za maziwa makuu...sasa kwanini mmejenga CHATO badala ya Mwanza?
..zamani mlikuwa mnadai Wachagga wanawahujumu, ila sasa inaelekea mnahujumiana wenyewe.
Kazi ya kuukarabati imeshaanza bwashee!Ok, sasa sio mjisifu kuumiliki tu, nataka muukarabati uwe na hadhi ya kisasa kama ule unaojengwa mwanza, hapo mtaeleweka zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza Qatar, Turkish.Hivi unaujua KIA au unabwabwa tu
1.Fly Dubai kila siku
2.Ethiopia kila siku Airbus 350 kila siku
3. KLM Airbus 350 kila siku
4. Emirate Dream liner kila siku
5. KQ Boeing 737 kila siku
6. The Cranes kila siku
7. Rwanda Air kila siku
Hayo ni mashirika ya ndege kwa uchache tu.
hAYO HAYO MAJITU YANAYOPONGEZANA LEO!!Nani aliwapa wazungu?
Contract ilikuwa inasemaje upande moja ukiamua kuvunja mkataba , na report zao za fedha zinaonyesha mapato yao na uwekezaji ktk hiyo miaka ni kiasi ganiUpuuzi wa kutukuka. Kutoka serikali kulipwa dola 1000 kwa mwezi kwa miaka yote, tunaishia kuwalipa watu mabillioni?
KIMAFA complex ya kutengeneza Boeing 747 imegeuzwa godown haizungumziwi. Kweli ujinga ni mzigo hata ukiwa na madaraka kiwango gani.