Uwanja wa KIA sasa ni mali ya Serikali kwa 100%

Uwanja wa KIA sasa ni mali ya Serikali kwa 100%

Wajenge Termina 2 inayoweza kuwekwa na jet bridge kama vinjawa vya wenzetu.
 
Sasa kwanini mmejenga Chato badala ya Mwanza?

Zamani mlikuwa mnadai Wachagga wanawahujumu, ila sasa inaelekea mnahujumiana wenyewe.
Akili za kisaccos divide and rule, mwaka kesho njia nyeupe Kwa "saccos" kuelekea madarakani
 
Uwanja wa ndege wa Chato sasa unamilikiwa na serikali kwa 100%
 
KIA is the best managed and maintained international airport in Tanzania. And it was being operated by KADCO, not TAA.
Nilikuwa najiuliza kila mara nikishuka pale KIA,pako poa sana,kwangu mimi nikiwanja bora Tanzania nzima,leo ndo napata jibu,kumbe ilikuwa haimilikiwi na Serekali
 
johnthebaptist,
Kwani lini uwanja ulikuwa wa watu binafsi? Uwanja mi najua ni mali ya serikali ya JMT siku zote. Mtu akimanage uwanja haimaanishi kuwa ni mali yake. Nadhani walipewa mgt contract tu. Au ulibinafsishwa?
 
Nilikuwa najiuliza kila mara nikishuka pale KIA,pako poa sana,kwangu mimi nikiwanja bora Tanzania nzima,leo ndo napata jibu,kumbe ilikuwa haimilikiwi na Serekali
Hahaha subiri sasa utaona hadi bendera za ccm kule ndani.
Serikali hii imiliki kitu halafu kiwe salama? Nitashangaa.
 
Contract ilikuwa inasemaje upande moja ukiamua kuvunja mkataba , na report zao za fedha zinaonyesha mapato yao na uwekezaji ktk hiyo miaka ni kiasi gani
Siyo issue ya kuvunja contract; bali contact iliyokuwa dished out without consideration na thamani ya rasilmali.
 
Wakati Wapinzani waki lalamika ule mkataba ulikuwa wa kibaguzi wabunge wa Ccm waliutetea leo mnjitoa ufahamu mnamsifu rais? Kwani ni serikali ya TLP waliwapa wawekezaji huo uwanja? Mimi sio mbunge ila Mbowe alileta mpaka data za mkataba Ccm kamzomea. Muwe na kumbukumhu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chato ni Uwanja wa mikakati ya ulinzi na usalama wa nchi za maziwa makuu.
Upo kiulinzi zaidi.

..hayo ni maelezo yaliyozoeleka ktk kuficha na kuhalalisha matumizi ya KIFISADI.

..Wakishasingizia kuwa ni kwasababu za kiusalama basi hakuna mtu anayeruhusiwa kuhoji au kuchunguza.
 
..hayo ni maelezo yaliyozoeleka ktk kuficha na kuhalalisha matumizi ya KIFISADI.

..Wakishasingizia kuwa ni kwasababu za kiusalama basi hakuna mtu anayeruhusiwa kuhoji au kuchunguza.
Kamuulize mwenyewe atakupa jibu
 
Back
Top Bottom