Uwanja wa KIA sasa ni mali ya Serikali kwa 100%

Mwanza uwanja unaojengwa kwa sasa ni terminal ya kawaida tu, pia Mwanza ina wasafiri wengi sana kuliko KIA


Hivi unaujua KIA au unabwabwa tu

1.Fly Dubai kila siku

2.Ethiopia kila siku Airbus 350 kila siku

3. KLM Airbus 350 kila siku

4. Emirate Dream liner kila siku

5. KQ Boeing 737 kila siku

6. The Cranes kila siku

7. Rwanda Air kila siku

Hayo ni mashirika ya ndege kwa uchache tu.
 
huku ubinafsishaji huku utaifishaji, huku wawekezaji huku soko huria huku tumeibiwa huku wezi wa mali ya umma,

yani kia awamu inakuja na mambo ya sintofahamu
Nimeamini CCM ni dude moja lenye sura nyingi zinazotisha ,weka mbali na wazalendo
 

This is idiotic. Lini uwanja huo ulikuwa chini ya umiliki tofauti?
 
Viwanja vyote Tanzania vinaendeshwa (operated) na Tanzania Aiports Authority (TAA) isipokuwa uwanja wa Kilimanjaro (KIA) ulikuwa (outsourced) na ukawa operated by Kilimanjaro Airports Development Company (KADCO).
Kwa sasa umerudishwa serikalini chini ya TAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahiyo hawa wazungu walikuwa wanauendesha kwa hasara tumewalipamkwa kazi gani sasa? haya mbona mambo ya hovyo namna hii? hivi hatuwezi kuwashitaki wanasheria walio draft hiyo mikataba?
 
Yaan huyo jamaa sijui anaishi maeneo gani mpaka adhubutu kusema mwanza ina abiria wengi kuliko kia je alishaona KLM ikitiwa mwanza?namshauri aende pale kia kwa siku tatu aangaliye watalii wanaoingia pale na wanao safiri kwanza kwa taarifa uwanja wakia kiusama ni uwanja mzuri sana na unaeneo kubwa sana kutoka barabara ya Arusha mpaka ufike getini kuna urefu Wa kilometa 6 siyo kama Wa mwalim nyerere kutoka barabarani hakuna hata mita miatano
 


Si kweli KIA bado unaendeshwa na KADCO, na zipo bodi mbili tofauti moja ni TAA na nyingine KADCO
 
..sasa kwanini mmejenga CHATO badala ya Mwanza?

..zamani mlikuwa mnadai Wachagga wanawahujumu, ila sasa inaelekea mnahujumiana wenyewe.
Chato ni Uwanja wa mikakati ya ulinzi na usalama wa nchi za maziwa makuu.
Upo kiulinzi zaidi.
 
Ongeza Qatar, Turkish.
 
Ndio uliopitisha twiga huo.

Ivi kwanini JPM anakataa kuongezewa muda!
 
Upuuzi wa kutukuka. Kutoka serikali kulipwa dola 1000 kwa mwezi kwa miaka yote, tunaishia kuwalipa watu mabillioni?
KIMAFA complex ya kutengeneza Boeing 747 imegeuzwa godown haizungumziwi. Kweli ujinga ni mzigo hata ukiwa na madaraka kiwango gani.
Contract ilikuwa inasemaje upande moja ukiamua kuvunja mkataba , na report zao za fedha zinaonyesha mapato yao na uwekezaji ktk hiyo miaka ni kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…