Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 598
Mzee uingerezs hawana mariasiri utaiba nini uingereza ulete tz. KIA walifanya kuwa lango la kupakilia twiga na meno ya temboSiyo lazima serikali kumiliki viwanja vyote vya ndege nchini.
Uwanja wa ndege wa Gatwick ulioko Uingereza unamilikiwa na wawekezaji binafsi.
Mzee uingerezs hawana mariasiri utaiba nini uingereza ulete tz. KIA walifanya kuwa lango la kupakilia twiga na meno ya tembo
Your very wrong brother ,KIA huwezi kuifananisha na Nwanza airport hata kidogo kwanza ubaoaswa kujua KIA inaudumia ndege za kimataifa na mwanza airport its mostly for domestic flights hivyo hata kuilinganisha ni ukakasi tupuMwanza uwanja unaojengwa kwa sasa ni terminal ya kawaida tu, pia Mwanza ina wasafiri wengi sana kuliko KIA
KLM moja ikitua KIA ni ruti za ATCL za wiki Mwanza achilia mbali ndege kana Condo airline ,Ethiopia airline ,KQ, Qatar air, fly Dubai, Turkish airline zote hizo zinakuja Kila Siku kwa juma sasa ndo uone kuwa KIA huwezi kuifananisha na Mwanza airport kwanza uwanja wa Mwanza ni airfield na siyo airportMwanza airport haina wasafiri wengi kana KIA. Siasa weka pembeni jadili uchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakasafirishia na Twiga apo!
tatizo la watanzania kila hoja mnataka kuleta ujuzi wa kushindanisha na wenzetu...ndugu kila mtunashinde mechi yakeSiyo lazima serikali kumiliki viwanja vyote vya ndege nchini.
Uwanja wa ndege wa Gatwick ulioko Uingereza unamilikiwa na wawekezaji binafsi.