Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Man.. J-20 technology yake ni so secret. prototype ambazo ziko tayar hata 10 hazifiki.
Aisee ngoja nikuwekeee references ya vitu vyote tusianze kuongea maneno hapa. Nakuwekea kitu kimoja kimoja.Man.. J-20 technology yake ni so secret. prototype ambazo ziko tayar hata 10 hazifiki.
Su -35 . Russia wana 58 , china wali order 24 mwaka 2015.
known operators wa su-35 ni russia na china tu.
Hizi ndege operating cost zake ni kubwa kuliko unavyo dhani.
Ahahaha nikushauri tu, hachana na huu mjadala, maana ndio unajivua nguo.Hilo nalo swali unauliza!? Unataka nikusaidie nini sasa. Ulikuwa unataka uzipate kwenye website ipi?
Kwanza tunaanza na hii taarifa kwanaMan.. J-20 technology yake ni so secret. prototype ambazo ziko tayar hata 10 hazifiki.
Su -35 . Russia wana 58 , china wali order 24 mwaka 2015.
known operators wa su-35 ni russia na china tu.
Hizi ndege operating cost zake ni kubwa kuliko unavyo dhani.
Achana na huyo tapeli. Aendelee kuwauza wajinga wasiojielewa. Ukiona ameanza mpaka kughushi reference za kwenye mitandao basi kaisha sababisha madhara makubwa kwenye jamii inayomzungukaHizo zingine nimefuatilia taarifa zake.. kama J-20 ziko 8 tu. Na jeshi la china zinahitaji zaidi. Alaf huyu bwana anaongea as if zinakuja kesho... nimeshangaa sana...
Hebu tuwekee na link inayoonesha kuwa hizo Ndege zimekuwa assigned Tanzania.Kwanza tunaanza na hii taarifa kwana
India and Russia Reach Agreement Over 5th Generation Fighter Aircraft
Ile TPDF Air wing imeingiaje pale kwenye reference number 3 while unajua kabisa Jwtz halina hata website.?Kwanza tunaanza na hii taarifa kwana
India and Russia Reach Agreement Over 5th Generation Fighter Aircraft
Kama wewe ulivyoKODEA(Kosea)Huo ni uref wa kiwanja cha ndege na si urefu wa ndege, mleta mada umekodea
Brother naongea kwa fact.... ww unaongea kwa ushabiki. Leta fact zako hapa... hivo vitu vikowaoi na taarifa umepata wapi?Hizo information ni kwa mujibu wa mitandao. Lakini kwenye reality siyo hivyo. Kuna vitu vingi tu chini ya uvungu. Siyo muda mrefu vitaoneshwa na utashangaa sana. Tumeonesha kidogo kwenye Navy na ground watu wengi walitetemeka.
Weka sasa tuone?Aisee ngoja nikuwekeee references ya vitu vyote tusianze kuongea maneno hapa. Nakuwekea kitu kimoja kimoja.
Its an agreement.... but bado hawajaanza ku operateKwanza tunaanza na hii taarifa kwana
India and Russia Reach Agreement Over 5th Generation Fighter Aircraft
Kwa hiyo huyo jamaa aliyekuchukulia kama Jike yupo sahihi tu, au tayari alishawahi kukupeleka "msata" na "ukachuma mboga za majani," ndio maana anauhakika na jinsia yako mpaka akaku address direct?
Wewe utakuwa mkenyaTanzania kunaa vitaa au hzo ndege zinatusaidiajee km watanzania au unaweza kukodishia nchi zenye vita tukapata fedhaa..naomben kueleweshwa ndugu
So what's your point? Kwamba tusiwe na jeshi wala kununua na kuimarisha vifaa vya kijeshi kwa sababu hatujavamiwa na adui kwa miaka mingi? Siyo lazima uchangie kwenye mada ambazo huna uelewa nazo.Mara ya mwisho kumbukumbu yako inasema tulivamiwa lini na maadui?
Ha ha ha ha ha ha ha labda wameleta ili ndege za kisasa za wenzetu zije kutua pindi wajapo kufundisha maaskari wetu.Kwenye ndege sasa.......hicho kiwanja kitazeeka bila kuwa na ndege zinazohitajika kutua hapo
Anneal huwa mgumu sana wa kuelewa, ikimpa maarifa anang'ang'ana na vijimambo, huyu sijui vipi? Mara umeniambia F 15 hazina VTOL technology, nikakubali nikaenda kutafuta zaidi, nikapa ni ukweli, mwambie Anneal kwa uone. Ana shida huyu jamaaIts an agreement.... but bado hawajaanza ku operate
If so she sound like she male.I dont think it is very usual for people to use names or even photos of the opposite sex on their internet profiles, even on the websites such as this one that does not require one to use their real names. They would prefer the usernames and photos that are matching their gender, or images associated with their gender.
Annael is a girl's name, meaning origing and popularity, and most likely, it is the real name of that JF user. That is how I jumped into the conclusion that the person is actually female.
I dont think it is very usual for people to use names or even photos of the opposite sex on their internet profiles, even on the websites such as this one that does not require one to use their real names. They would prefer the usernames and photos that are matching their gender, or images associated with their gender.
Annael is a girl's name, meaning origing and popularity, and most likely, it is the real name of that JF user. That is how I jumped into the conclusion that the person is actually female.