Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Hayo maswali ya watoto wadogo. Na watoto hawaruhusiwi kutumia mitandao. Kama wewe ni mtu mzima utakuwa na mtindio wa ubongo.
Unaa jipyaa unaonekaa unaa arosto ya virobaaa kafiee mbaliii..kubwaa jingaa na inaelekeaa km una familiaa ina kazii ya ziadaa maana wa na mamaa jinga kbs..cjui ww km mama ndan ya Nyumba n mzigo pakaa kwa mumeo wa wakwe kama staili yk ndioo hyo
 
Somebody keeps spewing uncalled for insults, calling others 'idiots', yet she couldnt even discern the simple error in the document she's presented, even when others pointed it out for her she still defended the mistake.

Ati 3000m long plane!
 
Katiba inasemaje kwani kuhusu suala hilo? kama unajua eleza kwa faida ya wasiojua.
 
Lakini Pia Huwa Inasaidiwa Na Technolojia Ya Kuwezesha Hivyo Kama Ile Ya Kutumia Hydrollic Pumps Kuwezesha Ndege Kufikia TakeoFf Speed...
Huu urefu ni zaidi ya ule wa treni yenye behewa arobaini na tano!
 
Somebody keeps spewing uncalled for insults, calling others 'idiots', yet she couldnt even discern the simple error in the document she's presented, even when others pointed it out for her she still defended the mistake.

Ati 3000m long plane!

"When a foolish person keeps quiet (s) he is deemed intelligent "...... Ati ndege ya mita 3000????
 
Unaa jipyaa unaonekaa unaa arosto ya virobaaa kafiee mbaliii..kubwaa jingaa na inaelekeaa km una familiaa ina kazii ya ziadaa maana wa na mamaa jinga kbs..cjui ww km mama ndan ya Nyumba n mzigo pakaa kwa mumeo wa wakwe kama staili yk ndioo hyo
Andika kiswahili vizuri. La sivyo utaonekana punguwani
 
Huko kwenu kenya viwanja vya ndege ni viwanda? Au ndio wehu wa akili kuliwa na funza!?
Aliekwambia mi mkenya nan? We unafikiri mtasema ni kiwanja cha ndege? Mtatuambia kiwanda cha ndege za kijeshi morogoro
 
Waache Mkuu wameng'ang'ania na tambo za SGR yao inayotumia makaa ya mawe na trump kawauzia ndege za kumwagia dawa kwenye mashamba ya kahawa wanajisifu nazo wanaenda kumaliza mizizi ya alshabab[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hapo ni kama unazungumzia upande wa fighter jets tu,kumbuka jeshi lina cargo airplanes zenye kuhitaji runway ya kutosha
 
Aliekwambia mi mkenya nan? We unafikiri mtasema ni kiwanja cha ndege? Mtatuambia kiwanda cha ndege za kijeshi morogoro
Nani akuambie wewe? Prove kama wewe siyo mkenya. La sivyo wewe ni mamluki.
 
Wakenya wao wana alshabab na wana fanya maendeleo na wanajisifia sasa ww unajisifia kununua na kujenga viwanja vya ivo wkt mara yako ya mwsho kupigana vita idd amini alikua hai
 
Wakenya wao wana alshabab na wana fanya maendeleo na wanajisifia sasa ww unajisifia kununua na kujenga viwanja vya ivo wkt mara yako ya mwsho kupigana vita idd amini alikua hai
Nakuhurumia sana kwa umbumbumbu wako. Hivi unadhani kwanini Uingereza ina vifaa vya hali ya juu vya kivita? Je, wapo na vita? Wewe unafikiri kwanini China au Russia wapo na vifaa vya kutisha je wanavita? Ukiwa mbumbumbu ni vyema ukaficha upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…