Asee naomba utueleweshe hiyo 45cm ni unene wa niniWe ndo haupo serious, 45cm ni unene mkubwa mno. Labda kama hujaelewa uliza.
Naona unajitahidi kuhamisha magoli tu, unachoulizwa sicho unachojibu. Hayo yote unayo copy na ku paste nafahamu yanapopatikana. Na ndio maana hata nilipo kuuliza Bajeti na running cost ya J 20, umeishia kuleta ngonjera maana hizo data nilijua kuzipata kwake sio za haraka kama hizi za kubandua na kubandika.Wewe ni mtoto mdogo hujui lolote. Hebu jaribu kujisomea kwanza ili tuweze kwenda pamoja. Tuwe kwenye frequency sawa. Tanzania mpaka sasa inatumi MiG za Russia. Kwa transformation hii ya kuwa pamoja Russia na China ndiyo maana China na Russia wanaiamini sana Tanzania.
Halafu soma hapa kuhusu Su-35. Hizi ni ndege za kisasa kabisa ni vyema ukajisomea kuliko kukaa na kukosoa ukiwa mbumbumbu
Killer in the Sky: Russia's Deadly Su-35 Fighter
[emoji23][emoji23][emoji23]ati number moja africaTayari TZ ni namba moja Africa. Halafu ni namba 27 duniani. Tunaitafuta top ten duniani.
Ona sasa unakohamia. Wewe ulikuwa unaponda SU-35 sasa nimekupa maelezo. Na zaidi sana nikakuweke reference ya huko Syria juzi juzi. Marekani alinywea kama paka kamwagiwa maji. Sasa unapoibuka na kuanza kupoda tu pasipo reference unadhani nitakuchagulia jina gani zaidi ya mbumbumbu!?Naona unajitahidi kuhamisha magoli tu, unachoulizwa sicho unachojibu. Hayo yote unayo copy na ku paste nafahamu yanapopatikana. Na ndio maana hata nilipo kuuliza Bajeti na running cost ya J 20, umeishia kuleta ngonjera maana hizo data nilijua kuzipata kwake sio za haraka kama hizi za kubandua na kubandika.
Alafu umeongelea swala la udogo wangu, pengine unaweza kuwa sahihi kwani bi-mdash wako atakuwa amekusimulia maana ndio umenya "tango" daily.
Tunataka punguzo la mfumuko wa bei hayo ya viwanja vya ndege vya kivita vya kisasa mi kama mtu wa kawaida inanisaidia nini?Uwanja ni wa kisasa na wa kipekee kusini mwa Jangwa la Sahara.
Viwanja vya namna hiyo ni viwili tu vimejengwa China na hiki kimoja hapa Tanzania.
"Kinaurefu wa mita 3,000, Upana mita 45 unene wa Sentimita 45"
MICHUZI BLOG: RAIS MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA NDEGEVITA WA KAMBI YA NGERENGERE, MOROGORO
RAIS MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA NDEGEVITA WA KAMBI YA NGERENGERE, MOROGORO | KAMANDA WA MATUKIO
View attachment 477530 View attachment 477531 View attachment 477532
NB: Watani zetu wakenya naona wanaendelea kukenua kenua meno.
Sasa Uwanja huu ndege matata za kivita mtaziona sio muda mrefu.
Vifaa kama hivi hapa chini nadhani vitapatikana hapa bongo
View attachment 477536
View attachment 477537
Rudi upya unisome vizuri kwa umakini na utulivu. Na pitia maswali niliyouliza. Hakuna sehemu nimeiponda SU 35, zaidi ya kukuambia ni ndege iliyonyuma kulinganisha na advanced ya technology kwa sasa katika masuala ya anga.Ona sasa unakohamia. Wewe ulikuwa unaponda SU-35 sasa nimekupa maelezo. Na zaidi sana nikakuweke reference ya huko Syria juzi juzi. Marekani alinywea kama paka kamwagiwa maji. Sasa unapoibuka na kuanza kupoda tu pasipo reference unadhani nitakuchagulia jina gani zaidi ya mbumbumbu!?
Sasa mkisema nyinyi ni number one ...Egypt watasema nn ..leta evidence ati you are number one na sii some photos of your army ..real data (latest) ...sometimes unafaa ujue jf kuna mature people who are irked by your stupidity ...leta list ya african armies[emoji23] [emoji23] [emoji23] tuone tz iko wapi..ati no 1 ..wtfYes ndio hivyo ulikuwa hujui?
Hivi wewe unajua Su-35 lakini au unaleya nyimbo na mapambio?Rudi upya unisome vizuri kwa umakini na utulivu. Na pitia maswali niliyouliza. Hakuna sehemu nimeiponda SU 35, zaidi ya kukuambia ni ndege iliyonyuma kulinganisha na advanced ya technology kwa sasa katika masuala ya anga.
Yani ni Sawa utambe na Corolla cresta ya mwaka 92 wakati watu wanaongelea Carina Ti au ISt kwa sasa
Unajua South Africa wanatumia Ndege gani?
Haya sasa jimwage kuangalia hii video mpaka mwishoSasa mkisema nyinyi ni number one ...Egypt watasema nn ..leta evidence ati you are number one na sii some photos of your army ..real data (latest) ...sometimes unafaa ujue jf kuna mature people who are irked by your stupidity ...leta list ya african armies[emoji23] [emoji23] [emoji23] tuone tz iko wapi..ati no 1 ..wtf
What is wrong with you ..leta official data ..list.. links ..mbona behave kitoto hivi..I want to know who rated you as number one in africa and how ...cos it looks like you think we are little kids [emoji23][emoji23]sasa video ya tz army about tz army ..propaganda...leta inteligence lists about your army ..Haya sasa jimwage kuangalia hii video mpaka mwisho
Hahahaha. Naona sasa unawewezeka. Data toka wapi nikuletee. Data zingine ni classified siyo kwaajili ya public. Hiyo taarifa inatosha kabisa vinavyofuata ni vitendo tu. Uliziona lakini Amphibious Tanks za TZ?What is wrong with you ..leta official data ..list.. links ..mbona kunehave kitoto hivi..I want to know who rated you as number one in africa and how ...cos it looks like you think we are little kids [emoji23][emoji23]sasa video ya tz army about tz army ..propaganda...leta inteligence lists about your army ..