Uwanja wa kutoa yaliyo moyoni: Kero/dukuduku/Povu kwa mtu yeyote

endesha

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2015
Posts
1,297
Reaction score
1,877
Karibu Jukwaani la kutoa kero yako,dukuduku na hata Povu ikibidi kuhusu member yeyote,hata mods ikibidi na hata kama kuna member amekukwaza pia unaweza kumfungukia hapa .😛

Naanza...Kero yangu ni kwa wote wasio wastaarabu wanaoshambulia watu kwa matusi/lugha za kuudhi hapa Jukwaani.Naomba wajirekebishe.

Nawe tiririka
 
We dada mi nakupenda mpk nahisi kuzimia!
Moyo wangu umeudondokea sina hata presha na trending za dunia!
Naona kama siku zangu zinahesabika nikikukosa.. pendo nililonalo kwa nguvu yake inaweza beba hata sayari zote!.. natamani hata nikuchukue tukaishi hata kwenye mbalamwezi.. jina lako tamu na haliishi hamu lanimulika kama jua linavyotumulika kutupatia mwanga wake upendezao!
Najitahidi kuvumilia pendo nililonalo juu yako lakini halivumiliki kama anga lisivyoweza kuziziba nyota zisionekane usiku!..
Upendo wako nitaulinda kama dunia inavyotulinda na vimondo!
Nitaliangamiza jinamizi la giza kama jua linavyoangamiza giza pindi lichomozapo!..
Natamani nikuhonge hata sayari na nyota zote zilizopo ulimwenguni ziwe mali yako!,lkn ni vile tu si vyangu!!
 
Hayupo ninaemchukia ukinichukia ni ww tu na roho yako mbayaaaaa

I'm done.
 
Kulwa ni mwingi wa Rehema na fadhila.

Hili gazeti ungemtupia kule pm hakika ungeonja ladha ya upendo wake.

Joanah
 
We dada mi nakupenda mpk nahisi kuzimia!
Moyo wangu umeudondokea sina hata presha na trending za dunia!
Naona kama siku zangu zinahesabika nikikukosa.. pendo nililonalo kwa nguvu yake inaweza beba hata sayari zote!.. natamani hata nikuchukue tukaishi hata kwenye mbalamwezi.. jina lako tamu na haliishi hamu lanimulika kama jua linavyotumulika kutupatia mwanga wake upendezao!
Najitahidi kuvumilia pendo nililonalo juu yako lakini halivumiliki kama anga lisivyoweza kuziziba nyota zisionekane usiku!..
Upendo wako nitaulinda kama dunia inavyotulinda na vimondo!
Nitaliangamiza jinamizi la giza kama jua linavyoangamiza giza pindi lichomozapo!..
Natamani nikuhonge hata sayari na nyota zote zilizopo ulimwenguni ziwe mali yako!,lkn ni vile tu si vyangu!!
Khaaa achana na mdogo wangu, tayari ameshawahiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kama siku zangu zinahesabika nikikukosa
Dalili za korona hizo sio za upendo puluchuchu wewe😜😂😂
Natamani nikuhonge hata sayari na nyota zote zilizopo ulimwenguni ziwe mali yako!,lkn ni vile tu si vyangu!
Acha longo longo sema mfukoni una shilling ngapi umuhonge maneno mengi kama Manara.😁

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kama kuna member anakukwaza humu kuna option ya ignore,mapovu natoa kwa watu muhimu katika maisha yangu
Si lazima awe anakukera..Naweza kusema dukuduku langu ni kwa wadada wanaofunga PM zao kama Joanah 😛
 
Nilichogundua mleta mada hana uhakika na anachokiandika
 
Back
Top Bottom