John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Niliwahi kusema humu kuwa pitch ya Manungu ni mzuri kuliko wa jamuhuri Morogoro. Ila tatizo ni mvua tu ndio ulioharibu pitchPitch nzuri hiyo unaweza ukajiburuza na magoti, ni tofauti sana na hali aliyoikuta simba kipindi kile
Itakuwepo mvua ya magoli ni jambo la muda tu.Kwa wale mlioko Morogoro hasa Manungu vipi hali ya hewa ipoje?
Mvua ipo?
Wakati Simba inapasua anga kutoka Niamey kwenda Cassablanca kupitia Uturuki, Utopolo wako safarini kwenda Manungu kupitia Mikese Mdaula, Mvomero, TurianiPicha inayoonyesha mazingira ya Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro ulivyo, uwanja huo utatumika kwa ajili ya mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, leo Jumatano Februari 23, 2022.
Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utaanza saa 10:00 Jioni, wenyeji Mtibwa Sugar wakiwa nafasi ya 15 kwa pointi 12 ambayo ni ya pili kutoka mkiani wakati Yanga wakiwa vinara wa ligi hiyo kwa pointi 36.
Kumekuwa na presha kubwa kwa kuwa Uwanja wa Manungu ukitajwa kuwa hauna ubora mzuri hasa sehemu ya pitch.
Unadhani nani anapigika leo?
Picha: Mtibwa Sugar
View attachment 2128246
Haijalishi....Wakati Simba inapasua anga kutoka Niamey kwenda Cassablanca kupitia Uturuki, Utopolo wako safarini kwenda Manungu kupitia Mikese Mdaula, Mvomero, Turiani
So, Yanga turidhike na mashindano ya ndani?Haijalishi....
Nyie mlipita wapi kwenda manunguWakati Simba inapasua anga kutoka Niamey kwenda Cassablanca kupitia Uturuki, Utopolo wako safarini kwenda Manungu kupitia Mikese Mdaula, Mvomero, Turiani
Kisha watapumzika pale Ferry Dumila njiapanda ya kuelekea Turiani. Watapata mahindi ya kuchoma kisha kuendelea na safari.Wakati Simba inapasua anga kutoka Niamey kwenda Cassablanca kupitia Uturuki, Utopolo wako safarini kwenda Manungu kupitia Mikese Mdaula, Mvomero, Turiani
Kumbe ndivyo mlivyofanya?Kisha watapumzika pale Ferry Dumila njiapanda ya kuelekea Turiani. Watapata mahindi ya kuchoma kisha kuendelea na safari.
Hiyo pitch ia ubora gani umepimaje ubora wake?Niliwahi kusema humu kuwa pitch ya Manungu ni mzuri kuliko wa jamuhuri Morogoro. Ila tatizo ni mvua tu ndio ulioharibu pitch