John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Picha inayoonyesha mazingira ya Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro ulivyo, uwanja huo utatumika kwa ajili ya mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, leo Jumatano Februari 23, 2022.
Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utaanza saa 10:00 Jioni, wenyeji Mtibwa Sugar wakiwa nafasi ya 15 kwa pointi 12 ambayo ni ya pili kutoka mkiani wakati Yanga wakiwa vinara wa ligi hiyo kwa pointi 36.
Kumekuwa na presha kubwa kwa kuwa Uwanja wa Manungu ukitajwa kuwa hauna ubora mzuri hasa sehemu ya pitch.
Unadhani nani anapigika leo?
Picha: Mtibwa Sugar