Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Jana kulikuwa na tukio kubwa sana la kampeni la Chama cha Mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa.
Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule Sokoine, Mbeya.
Tofauti ni kuwa kule Mbeya kelele za kulaani zilikuwa nyingi ila kwa Jana kimya kila mtu anaogopa.
View attachment 1595489
Ni kazi ya meneja wa uwanja kuhakikisha atafuta kampuni za kufanya usafi baada ya shughuli.
Uwanja upo chini ya uangalizi wa meneja.
CCM wao na vyama vingine wanapaswa kulipia shughuli hizo ili hiyo fedha isaidie kufanya usafi na mambo mengine.
Sioni sababu ya kuwatupia lawama vyombo vya habari kwa masuala ambayo yapo chini ya majukumu ya meneja wa uwanja.
Kama meneja wa uwanja hawezi kazi basi anaachia ngazi.