Uchaguzi 2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

Uchaguzi 2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

Usitufokee
Peleka upumbavu wako huko uwanja ni mali ya Taifa la Tanzania, maana yake uwanja ni wa watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama huwezi fanya uharibufu kama ule ni upuuzi mtupu.
 
Ndomaana waka-force uitwe KWA MKAPA sababu alikua mwanaccm so maendeleo yoyote yaliyobuniwa na mwanaccm automatic ni mali ya ccm!
 
Sasa utajilipisha faini kwenye mali yako.seikali imeharibu uwanja wake kwahyo itabidi wautengeneze wao wenyewe.mmiliki ndiye aliyeharibu sasa fine ni kwa nani ulitaka?
Misukule ni vichwa hasa!.

CCM ndiyo SERIKALI
Una akili sana wewe. Umetisha mwanangu . Duuh!. Kweli ccm kwisha kazi.
 
Back
Top Bottom