Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu anasema ni kwa sababu ya Katiba tuliyonayoWakuu,
Hivi kweli tumeshindwa kutunza huu uwanja? Usafi wa vyoo na maeneo mengine imekuwa tatizo sugu lakini aibu kubwa zaidi ni sasa hata pitch imetushinda!
Ni aibu National Stadium nyasi kuisha na kuwa na mapengo ya vumbi! Serikali kwenye hili mnastahili lawama zote kwa kushindwa kusimamia huu uwanja!
Hii nchi kwenye mpira tunachambua mambo mengi ya kijinga na wakati mwingine kuacha vitu fundamental.
Uwanja wa taifa kuwa na pitch ya namna ile ni aibu ya Taifa! Watu wawajibike kwenye hili! Aibu! Aibu! Aibu!
Shame on us! [emoji35]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sidhani kama shida ni mara ngapi unatumika. Taratibu za kuumwagilia inavyotakiwa hazifuatwi. Leo nilivyofungua channel sikudhani kama ni taifa. Na hadi kushindwa kusafisha vyoo utasemaje?Hizi timu kongwe zilitakiwe zipewe hata miaka 5, ziwe zimejenga viwanja vyao.
Wee uwanja kila wiki mechi mbili, unategmea nini hapo. Hata ukitunzaje lazima utazidiwa.
Uwanja ulitakiwa uwe na hadi speakers kutoa matangazo mbalimbali na hata kuhamasisha mashabiki wa timu mwenyeji kwa kupitia nyimboKuna ile screen huwa iko off muda wote, halfu kuna mwamba (manager) wa ule uwanja yupo tu, anakula salary.
Sijui hizi kazi huwa wanapeana vipi, inafaa ifike wakati tuhoji,
Yaani tufahamu hii management ya huu uwanja, tuone elimu zao, kisha tuone walipataje hizi nafasi. Kuna haja.
Uwanja unatia aibu sana sana! Hebu kumbuka siku tulipokabidhiwa tunapaita kwa mchina na leo? Sisi tuna matatizo mazito [emoji31]Sidhani kama shida ni mara ngapi unatumika. Taratibu za kuumwagilia inavyotakiwa hazifuatwi. Leo nilivyofungua channel sikudhani kama ni taifa. Na hadi kushindwa kusafisha vyoo utasemaje?
Labda uniambie matumizi yasiyo ya michezo yapungue au yazuiwe kabisa maana nadhani juzi tu hapa kulikuwa na tamasha pale inawezekana ndiyo limeharibu uwanja.
Hiyo katiba iwe na kipengele kinacholazimisha wale jamaa wa ufipa kukarabati makao yao makuu .ššBila katiba mpya hapa hatutoboi
Wafuasi wa Legacy. UchwaraHiyo katiba iwe na kipengele kinacholazimisha wale jamaa wa ufipa kukarabati makao yao makuu .šš
Kwa akili yako mbovu,kwa vile uwanja ni mmoja,ndio uharibiwe?Boss uwanja ni mmoja, kuna timu kongwe zina miaka zaidi ya 80 hazina viwanja, zote zinatumia uwanja huohuo kama uwanja wa nyumbani, (Overuse) ,
Kumbuka kuna timu ndogo tu zinaanzishwa na tayari zina viwanja vyao na kumbuka kuna ile takataka inaitwa tff huwa inavifungia viwanja vyao wakati wowote (hasa pale hizi timu ndogo mpya zinaposhindwa kujiongeza [emoji383])
Nchi nzima tuna kiwanja kimoja,
Serikali hii ya hovyo bado haijaona umuhimu wa kujenga viwanja vingine hata viwili vyenye capacity ya 20-30k dodoma au moro au Arusha na dsm licha ya kukopa mabilioni ya pesa ulaya.
Kuhusu elimu wala usiwe na hofu,maana ndiyo kigezo cha kuajiri watu kwa sasa.Kuna ile screen huwa iko off muda wote, halfu kuna mwamba (manager) wa ule uwanja yupo tu, anakula salary.
Sijui hizi kazi huwa wanapeana vipi, inafaa ifike wakati tuhoji,
Yaani tufahamu hii management ya huu uwanja, tuone elimu zao, kisha tuone walipataje hizi nafasi. Kuna haja.
Hatari sana hii, wakati tunakabidhiwa huu uwanja kulikua na garden nzuri sana nje, kiukweli ulikua unavutia sana! Baada ya miezi miwili garden ikawa imekauka, then baadae ikawa wiki kwenye vifaa vya vyooni na uharibifu uliokithiri hakuna aliyejali! Sasa ndio tunaelekea kwenye pitch yenyewe nayo itafikia wakati itakua kama ya Jamhuri Morogoro tu! Mwenyezi Mungu atasaidie sisi baadhi ya Waafrika ili tuweze kusimamia rasilimali zetu vizuri hatuna yeyote atakayesimamia ni sisi wenyewe!!Nina uhakika Uwanja wa Taifa una meneja wake na chini yake ana supervisors wake wa kusimamia usafi na matunzo ya kiwanja, na huyo meneja ana mwajiri wake, tuanze na huyo meneja na bodi au mwajiri wake amwajibishe, hii kitu rahisi sana tusiende mbali, aliyemwajiri meneja wa kusimamia usafi afanye kazi yake...FUKUZA MENEJA WA UWANJA WA TAIFA FULLSTOP!!!!
Ona sasa umefungiwa. Punguza munkari. Pole.Wafuasi wa Legacy. Uchwara