Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Droo na Simba, PenaltyHivi awa waamuzi kutoziona izi penalty wanazo stahili kupata Yanga ni makosa ya kibinadamu au ndio rushwa michezoni. Maana linaonekana Kama Jambo linalo endelea na mbaka sasa halionyeshi mabadiliko. Awa wachezaji wa Yanga ni binadamu Kama wengine wanavyo porwa ushindi kwa njia Kama hizi kunasiku uvumilivu utawashinda watajichukulia hatua. Bodi ya Ligi iwe makini Kuna Jambo si la kawaida linafanyika kuvuruga mpira.
Nusu fainali Mapinduzi, Penalty
Fainali Mapinduzi, Penalty
Goli la kwanza Vs Kagera Sugar, Penalty
Kwani mmekuwa Penalties Football Club?
Yani hamshindi mpaka kwa Penalties?
Kwani Utopolo siku hizi mmekuwaje?