kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Wakati unawaza hivyo rudia uone ni mara ngapi Luis anaangushwa kwenye 18 na waamuzi wanapeta
Hivi awa waamuzi kutoziona izi penalty wanazo stahili kupata Yanga ni makosa ya kibinadamu au ndio rushwa michezoni. Maana linaonekana Kama Jambo linalo endelea na mbaka sasa halionyeshi mabadiliko. Awa wachezaji wa Yanga ni binadamu Kama wengine wanavyo porwa ushindi kwa njia Kama hizi kunasiku uvumilivu utawashinda watajichukulia hatua. Bodi ya Ligi iwe makini Kuna Jambo si la kawaida linafanyika kuvuruga mpira.