Uwanja wa Mkapa: Yanga yashindwa kutamba uwanja wa nyumbani, yalazimishwa sare na Kagera Sugar

Uwanja wa Mkapa: Yanga yashindwa kutamba uwanja wa nyumbani, yalazimishwa sare na Kagera Sugar

Utopolo wametepeta tena. Sare ya 3 mfululizo kwenye ligi. Simba akishinda viporo vyake vyote anakuwa na pointi +2. Tuendelee kuwaombea washinde Simba.
Simba wakishinda viporo vyake vyote atakua na points ngapi?
 
20210217_210252.jpg

Simba wanakera, cheki post yao baada ya Yanga kupigwa
 
Wamekosa magoli ya wazi lakini utawasikia wanaililia bodi ya ligi na waamuzi
 
Makubaliano ni kuwa kwa kuwa Sarpong na Fiston wanasemwa sana leo wapate nafasi ya kufunga. Wote au mmoja wapo hatakosa kuondoka na Goal.

Ila kubwa na la msingi ni kuwa iwe mvua liwe jua leo lazima Yanga tushinde. Match iliisha jana. Meck Mexime au Wanakagera Sugar hawana ugomvi na Yanga. Hawana haja ya kucheza kwa kukamia. Mpira ni starehe wanapaswa wacheze kwa ku relax.

Wanayanga popote mlipo leo muwe na amani na furaha. Achaneni na match ya Mbeya wale wanyak wapuuzi walijifanya wanaume sana.

Leo tupo na Wahaya. Hawa hatuna shida nao tunawafahamu. Hawana moyo Mgumu. Points tatu muhimu. Kocha wa Kagera Sugar anafahamu umuhimu wa sisi kupata points 3.
Tupe matokeo, mvua na jua ikawaje tena mtani?
 
Siku zote utopolo ilikuwa inashinda kwa bahati na si ujuzi zaidi. Kiujuzi utopolo ni ya kawaida sana na huwezi ukategemea bahati kuwa bingwa.
 
Yanga ni kama kikundii tu cha ngoma wala tusiwalaumu wachezaji wote wamecheza kwa uwezo wao wotee ila uwezo ndio umeishia pale
 
Hivi awa waamuzi kutoziona izi penalty wanazo stahili kupata Yanga ni makosa ya kibinadamu au ndio rushwa michezoni. Maana linaonekana Kama Jambo linalo endelea na mbaka sasa halionyeshi mabadiliko. Awa wachezaji wa Yanga ni binadamu Kama wengine wanavyo porwa ushindi kwa njia Kama hizi kunasiku uvumilivu utawashinda watajichukulia hatua. Bodi ya Ligi iwe makini Kuna Jambo si la kawaida linafanyika kuvuruga mpira.
 
Na bado leo tena Wachezaji wa Yanga wameendelea na Ugonjwa wa kumzonga mwamuzi! Bodi ya Ligi toeni matokeo ya Vurugu za Mbeya Haraka. KASEKE, KAZE NA LAMINE Pini ya miezi 6 tunaisubiri haraka.
 
Kwa kweli Yanga leo wamewakalia vibaya Kagera...na kuweza kulazimisha droo ya 3-3 baada ya kagera kuongoza mda wote huku Yanga wakisawazisha mda woote. Naiona Yanga iliyobora sasa tofauti na ile ya mwaka jana...Wakiendelea na juhudi hii hawakosi nafasi ya pili msimu huu
 
Mashabikia maaandraazzi wanatema povu[emoji196][emoji196][emoji196]
 
Hivi awa waamuzi kutoziona izi penalty wanazo stahili kupata Yanga ni makosa ya kibinadamu au ndio rushwa michezoni. Maana linaonekana Kama Jambo linalo endelea na mbaka sasa halionyeshi mabadiliko. Awa wachezaji wa Yanga ni binadamu Kama wengine wanavyo porwa ushindi kwa njia Kama hizi kunasiku uvumilivu utawashinda watajichukulia hatua. Bodi ya Ligi iwe makini Kuna Jambo si la kawaida linafanyika kuvuruga mpira.
Upo uwekano sio bodi ya ligi na TFF tu, hata FIFA wachunguzwe wanaikandamiza Yanga! Anyway ' Vimba Mwanayanga Vimba' msemaji kasema
 
Kwa kweli Yanga leo wamewakalia vibaya Kagera...na kuwezesha kulazimisha droo ya 3-3 baada ya kagera kuongoza mda wote huku yanga wakisawazisha...Naiona Yanga iliyobora sasa tofauti na il ya mwaka jana...Wakiendelea na juhudi hii hawakosi nafasi ya pili msimu huu
Aaaah unafiki wa kihaya huu
 
Back
Top Bottom