Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww tulia hapo hapo dawa ikuingieHii mechi tukifungwa, kocha atahusika kwa asilimia zaidi ya 70! Amezingua kumuacha nje kiungo mkabaji kama Mukoko na kuwaanzisha viungo ambao si wakabaji wa kiwango cha Mukoko mfano huyu Zawadi Mauya.
Makosa mengi yanafanywa na mabeki kwa sababu ya udhaifu wa kiungo mkabaji. Zawadi Mauya anapuyanga tu uwanjani!
HahaaJina lako la kwanza ndo Jina.
Achana na jina hilo la pili
Acha kuifikiria Simba, ifikirie timu unayocheza nayo muda huu, yaani Kagera Sugar. Mafuriko siku mtakapocheza na Simba uyasubiri kwanza siku ifikeMungu saidia hii mechi,tutaficha wapi sura zetu kwa haya Mautelembwe
Teh tehMod anza kunoa jambia
Huo ndiyo ukweli. Kocha ametuhujumu. Kagera Sugar siyo timu ya kuifanyia masihara au majaribio hata kidogo! Na nyinyi wenyewe ni mashahidi.mmeanza vijisababu subirini mpira uishe
Mbaazi ikikosa Maua.......[emoji3]Hii mechi tukifungwa, kocha atahusika kwa asilimia zaidi ya 70! Amezingua kumuacha nje kiungo mkabaji kama Mukoko na kuwaanzisha viungo ambao si wakabaji wa kiwango cha Mukoko mfano huyu Zawadi Mauya.
Makosa mengi yanafanywa na mabeki kwa sababu ya udhaifu wa kiungo mkabaji. Zawadi Mauya anapuyanga tu uwanjani!
Unahamia Burigi Chato, au!!Kagera sugar wakikosa point 3 muhimu kwenye hii mechi naama nchi.
Leo lazima muondolewe bik..ra yenu mtelembwe chapa chapaMungu saidia hii mechi,tutaficha wapi sura zetu kwa haya Mautelembwe
Hivi utopolo ndio nini? Wengine tunalitumia hili neno bila kuwa na uhakika wa maana yake! Mwenye uhakika na neno hili atujuze!Siyo kwa Utopolo huu.
Si niliwaambia mjiandae na statement ya lawama?Hii mechi tukifungwa, kocha atahusika kwa asilimia zaidi ya 70! Amezingua kumuacha nje kiungo mkabaji kama Mukoko na kuwaanzisha viungo ambao si wakabaji wa kiwango cha Mukoko mfano huyu Zawadi Mauya.
Makosa mengi yanafanywa na mabeki kwa sababu ya udhaifu wa kiungo mkabaji. Zawadi Mauya anapuyanga tu uwanjani!
Tuliza mshono dogo,Hii mechi tukifungwa, kocha atahusika kwa asilimia zaidi ya 70! Amezingua kumuacha nje kiungo mkabaji kama Mukoko na kuwaanzisha viungo ambao si wakabaji wa kiwango cha Mukoko mfano huyu Zawadi Mauya.
Makosa mengi yanafanywa na mabeki kwa sababu ya udhaifu wa kiungo mkabaji. Zawadi Mauya anapuyanga tu uwanjani!
Walivyogongwa na African Sports Club nilidhani wale Wagosi walibahatisha kumbe kweli Kidimbwi ni uchochoro.Utopolo wanacheza kama timu ya daraja la kwanza.
Haifichiki mumekeketwa live bila chenga.Mungu saidia hii mechi,tutaficha wapi sura zetu kwa haya Mautelembwe
Utopolo= Mrenda mrendaHivi utopolo ndio nini? Wengine tunalitumia hili neno bila kuwa na uhakika wa maana yake! Mwenye uhakika na neno hili atujuze!