Uwanja wa Mkapa: Yanga yashindwa kutamba uwanja wa nyumbani, yalazimishwa sare na Kagera Sugar

Mkuu kama una bet nenda uweke correct scores
Yanga 5
Kagera 3
weka ata jero utanishukru badaye🤑🤑
 
Hii mechi tukifungwa, kocha atahusika kwa asilimia zaidi ya 70! Amezingua kumuacha nje kiungo mkabaji kama Mukoko na kuwaanzisha viungo ambao si wakabaji wa kiwango cha Mukoko mfano huyu Zawadi Mauya.

Makosa mengi yanafanywa na mabeki kwa sababu ya udhaifu wa kiungo mkabaji. Zawadi Mauya anapuyanga tu uwanjani!
Ww tulia hapo hapo dawa ikuingie
 
Hii mechi tukifungwa, kocha atahusika kwa asilimia zaidi ya 70! Amezingua kumuacha nje kiungo mkabaji kama Mukoko na kuwaanzisha viungo ambao si wakabaji wa kiwango cha Mukoko mfano huyu Zawadi Mauya.

Makosa mengi yanafanywa na mabeki kwa sababu ya udhaifu wa kiungo mkabaji. Zawadi Mauya anapuyanga tu uwanjani!
Mbaazi ikikosa Maua.......[emoji3]
 
Half time Yanga 2 -Kagera 3 bado tunasubiri tuone mtu anavyonyolewa na mod😁
 
Hii mechi tukifungwa, kocha atahusika kwa asilimia zaidi ya 70! Amezingua kumuacha nje kiungo mkabaji kama Mukoko na kuwaanzisha viungo ambao si wakabaji wa kiwango cha Mukoko mfano huyu Zawadi Mauya.

Makosa mengi yanafanywa na mabeki kwa sababu ya udhaifu wa kiungo mkabaji. Zawadi Mauya anapuyanga tu uwanjani!
Si niliwaambia mjiandae na statement ya lawama?
 
Hii mechi tukifungwa, kocha atahusika kwa asilimia zaidi ya 70! Amezingua kumuacha nje kiungo mkabaji kama Mukoko na kuwaanzisha viungo ambao si wakabaji wa kiwango cha Mukoko mfano huyu Zawadi Mauya.

Makosa mengi yanafanywa na mabeki kwa sababu ya udhaifu wa kiungo mkabaji. Zawadi Mauya anapuyanga tu uwanjani!
Tuliza mshono dogo,
 
Back
Top Bottom